Natafuta mume

Natafuta mume

Natafuta mwanaume serious ambaye atakuja Kua mume wangu ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea awe mkristo dheebu lolote.

Umri wangu ni miaka 33 mjasiriamali na nina mtoto mmoja. Kama upo serious njoo PM mengine tutaelezana uko.
Sisi wenye age below 33 tufikirie basi japo hata kidogo please.😅😆
 
Mimi niko 44 Nimeoa single mama Nikaongeza na wangu 2 ,kama hutojali njoo huku kwenye dini ya haki ili nikufanye mke mdogo. Ila sina kazi wala nyumba naishi kwa mke mkubwa so kama nawe una makazi yakonicheck tuyajenge kiutu uzima
Duh!😀
 
Sio kila single mama ameachwa wengine wameacha kwa kushindwa kuvumilia manyanyaso wa wazazi wenzao

Alafu wanaotukana ukute walizaliwa nje ya ndoa na wazazi wao walikuwa single mama
Wanachoacha wenzio wewe utakiweza wapi?
 
Hapo shida ni mama wa watoto hajitambui
Lkn pia sidhni km ilikuwa kwa huyu dada kumhukumu kwa makosa ya wengine lkn mseme mkweli wengi wako bright Sana kwasabbu walishafnya makosa hapo mwanzo bas tu ndo ivo
Hakuna Cha bright Wala Nini!?
Yaani anamsahau mzazi mwenzie akiwa na shida.
Zikiisha hisia za jamaa zinarudi sasa
 
Back
Top Bottom