Natafuta mume

Natafuta mume

Nenda kashibe bagia kwanzaa kuleee acha wengeee ukute hujala toka asubuhi hapo ndiokwanzaaa 22
Kesho kitu kinatoka ww niache nipambanie penzi langu jipya huku usitake kuniharibia ushindwe kbsa 😠😠😠😠
 
Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke.

Asiwe mdogo sana au mzee sana wastani tu

Ninachopenda ni heshima /upendo/faraja/matunzo.

Siku njema
Akipatikana uta demand mahari au wewe ndiye utakwenda kulipa kwao?
 
Back
Top Bottom