Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eenhee ndio unasemaje sasaKumbe wewe ndio mleta mada Eeeh!
Hii nimeipenda yaani kama ni mwanamke kweli ubarikiwe sana coz umeona kudanga italeta madhara bi vyema utafute wa ku share nayeMi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake.
Sichagui dini, ila awe 'serious' kuishi kwa upendo, siyo kujaribu awe muwajibikaji. Sichagui anafanya kazi wapi, kikubwa anaweza kutunza familia tu.
Aksante sana[emoji120][emoji120]Mungu akupe hitaji la moyo wako
Kama anatutania apewe nini?Mungu akupe hitaji la moyo wako.
Aksante [emoji120][emoji120][emoji120]Andiko zuri, hujaweka mbwembwe mingi.
age is nothing but a number...Kwanini your too young au?
Ni kweli kikubwa makubaliano and heshimaage is nothing but a number...
Ndio yupo hai
Umenifurahisha hii umri haupungui mi mkubwa sasa na napenda kiasi kuwa na mwanaume aliyenizidi umri pia japo ya Mungu ni mengi na yeye ndio mpangaji wa yoteHuo umri haupungui hata kidogo dada?
Hazibandi matilio nipo hapa, 😍😍Mi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake.
Sichagui dini, ila awe 'serious' kuishi kwa upendo, siyo kujaribu awe muwajibikaji. Sichagui anafanya kazi wapi, kikubwa anaweza kutunza familia tu.