Natafuta mume

Natafuta mume

Mi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake.

Sichagui dini, ila awe 'serious' kuishi kwa upendo, siyo kujaribu awe muwajibikaji. Sichagui anafanya kazi wapi, kikubwa anaweza kutunza familia tu.
Hii nimeipenda yaani kama ni mwanamke kweli ubarikiwe sana coz umeona kudanga italeta madhara bi vyema utafute wa ku share naye

Sharing is caring wanawake kubalini uke wenza kama huyu
 
Mi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake.

Sichagui dini, ila awe 'serious' kuishi kwa upendo, siyo kujaribu awe muwajibikaji. Sichagui anafanya kazi wapi, kikubwa anaweza kutunza familia tu.
Hazibandi matilio nipo hapa, 😍😍
 
Back
Top Bottom