Mi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake.
Sichagui dini, ila awe 'serious' kuishi kwa upendo, siyo kujaribu awe muwajibikaji. Sichagui anafanya kazi wapi, kikubwa anaweza kutunza familia tu.