Natafuta mume


Najua mimi siwezi kuwa mume wako kwa sababu flani flani (dini, kuishi ughaibuni nk)
Ila ukweli napenda sana dada aliyesoma kozi zinazoendana na hizo umesoma au Aliyesoma; Pharmacy
 
Jua limezama wewe maisha hayana episode nyingine ikitoka imetoka hta ungekua mtoto wa Joe Biden likizama limezama tu
 
Nimempata wakuu hitaji langu la moyo Mr gaganiga. Yeye ansoneka ana hela kwa sababu ameniambia ana kampuni kibao huko London na marekani
Kwendeni kuko mmekuja kutupanga kama mazuzu😂😂😂😂
Hiyo ni id moja tu unatuchora.

Wasomi wa Cuba hilo tulishalijua kitambo
 
1993 + 7 = 98 daresa la kwanza +7 darasa la saba 2005
4 form 4 2009 form six 2012 jkt 2013 itakua Op kikwete + 5 Muhas = 2018 2020 intern up 2o21 now ni 2022 je hiyo masters umeipataje ?????....maelezo kidogò
 
Hapo baharia uwe na passport tu, maana amechoka kuishi mwenyewe huko Amerika.

Ila dada vidato vyote hivyo haukupata hata wa kidato kimoja, au ndio ukaidi?
 
Kupata mume si tatizo ni kumtunza mume, maana haki SAwa zimekubomoeni kabisa. Kwenye ndoa mwanaume atabakia nafasi yake na mke hivyo hivyo ni asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…