Natafuta mume

Natafuta mume

Bwana yesu asifiwe!

Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja.

Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina bachelor degree ya medicine niliyoipata chuo cha muhimbili na pia nina masters degree ya medicine specialize kwwa watoto kwa maana bachelor degree ya medicine in pediatric niliyoipata chuo kikuu cha hilford nchini marekani kwa sasa nina fanya kazi hospitali ya hapo hapo Hilford nchini marekani.

Sina mtoto wala mimba natafuta mwanaume yoyote hata akiwa jobless sawa maana nimechoka kukaa pekee yangu.

Natanguliza shukrani yoyote ambae yuko seriously anipm

Najua mimi siwezi kuwa mume wako kwa sababu flani flani (dini, kuishi ughaibuni nk)
Ila ukweli napenda sana dada aliyesoma kozi zinazoendana na hizo umesoma au Aliyesoma; Pharmacy
 
Jua limezama wewe maisha hayana episode nyingine ikitoka imetoka hta ungekua mtoto wa Joe Biden likizama limezama tu
 
Nimempata wakuu hitaji langu la moyo Mr gaganiga. Yeye ansoneka ana hela kwa sababu ameniambia ana kampuni kibao huko London na marekani
Kwendeni kuko mmekuja kutupanga kama mazuzu😂😂😂😂
Hiyo ni id moja tu unatuchora.

Wasomi wa Cuba hilo tulishalijua kitambo
 
1993 + 7 = 98 daresa la kwanza +7 darasa la saba 2005
4 form 4 2009 form six 2012 jkt 2013 itakua Op kikwete + 5 Muhas = 2018 2020 intern up 2o21 now ni 2022 je hiyo masters umeipataje ?????....maelezo kidogò
 
Kulingana na Isaya 4:1 itafika wakati wanawake watatoa mahari wao.
Na wivu utawaishia kabisa.
Screenshot_20221127-071825.jpg
 
Hapo baharia uwe na passport tu, maana amechoka kuishi mwenyewe huko Amerika.

Ila dada vidato vyote hivyo haukupata hata wa kidato kimoja, au ndio ukaidi?
 
Kupata mume si tatizo ni kumtunza mume, maana haki SAwa zimekubomoeni kabisa. Kwenye ndoa mwanaume atabakia nafasi yake na mke hivyo hivyo ni asili
 
Back
Top Bottom