Jobless si atapewa mtaji asimamieUmeanza vizuri,umeharibu uliposema "hata akiwa jobless" hapa umejichanganya huwezi kupata mwanaume wa maisha kama unavohitaji..
NB:MUNGU AKUTIMIZIE HITAJI LAKO
Home is good taifa moja tamaduni moja raha ya ndoa kuzeeka pamojaJuzi wa Uingereza, leo marekani, akitokea wa urusi mnishitue π
Npo hapa njoo inbox kwa maelezo mazurBwana yesu asifiwe!
Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja.
Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina bachelor degree ya medicine niliyoipata chuo cha muhimbili na pia nina masters degree ya medicine specialise kwwa watoto kwa maana bachelor degree ya medicine in pediatric niliyoipata chuo kikuu cha hilford nchini marekani kwa sasa nina fanya kazi hospitali ya hapo hapo Hilford nchini marekani.
Sina mtoto wala mimba natafuta mwanaume yoyote hata akiwa jobless sawa maana nimechoka kukaa pekee yangu.
Natanguliza shukrani yoyote ambae yuko seriously anipm
Bwana yesu asifiwe!

Alivyoandika "hapo hapo Hill..." nikajua hamna kitumwandiko wa kiume kabisa huu. atapigwa mtu humu muda si mrefu
Hata mimi nimeshtuka hapo [emoji23][emoji23]Ulivotumia neno "hapohapo Marekani" nikajua tyu uko bongo hapahapa,
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Multiple ID at workNimempata wakuu hitaji langu la moyo Mr gaganiga. Yeye ansoneka ana hela kwa sababu ameniambia ana kampuni kibao huko London na marekani
Hawajiamini π πKuna miaka ya zamani kuna mdada alitoa tangazo km hili, akatokae mkaka akazingua kufika kwenye appointment pale kwenye mgahawa opposite na British.... Baadae kaka akajuta kujua yule bibie ni rubani. Sasa huyu amejitaja kbs jobless mnahitajika kikubwa nguvu mnambwelambwela.
Hawa wenza wa kutafuta kwenye mitandao....... sijui kama huwa na matokeo mazuri. Waliofanikiwa waje watupe ushuhuda.
π π π ππkwa akili hiz,uliyenae anapaswa awe mvumilivu sanaMimi sasa hivi nimempata mtu humu ndani .
Ila hawa wengine wananifanya nitamani kuwatafuta nao [emoji85] sorry dear love
Maana ...
hehehe wanaume ni dhaifu sana mbele ya mtoto wa kike, ndo maana hata wauza madawa majambazi wakubwa hukamatwa kwa njia ya kijasusi ya kutumia mitego ya wanawake. ila sasa kuna na hawa wanaume wanataka dolla 20 20 za wanaume wenzake pmAlivyoandika "hapo hapo Hill..." nikajua hamna kitu
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app