Natafuta mume

Natafuta mume

Mahaba ya sgr yako hapa.......Zama pm mwandishi ......Nina Siri kubwa kwenye mahaba hata sijui ziko telabyt ngapi
 
Bwana yesu asifiwe!

Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja.

Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina bachelor degree ya medicine niliyoipata chuo cha muhimbili na pia nina masters degree ya medicine specialise kwwa watoto kwa maana bachelor degree ya medicine in pediatric niliyoipata chuo kikuu cha hilford nchini marekani kwa sasa nina fanya kazi hospitali ya hapo hapo Hilford nchini marekani.

Sina mtoto wala mimba natafuta mwanaume yoyote hata akiwa jobless sawa maana nimechoka kukaa pekee yangu.

Natanguliza shukrani yoyote ambae yuko seriously anipm
Npo hapa njoo inbox kwa maelezo mazur
 
Pale alipoanza na wakuu tayari jinsia husika hapa sio ke ni me, kuweni makini
 
Bwana yesu asifiwe!

Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja.

Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina bachelor degree ya medicine niliyoipata chuo cha muhimbili na pia nina masters degree ya medicine specialise kwwa watoto kwa maana bachelor degree ya medicine in pediatric niliyoipata chuo kikuu cha hilford nchini marekani kwa sasa nina fanya kazi hospitali ya hapo hapo Hilford nchini marekani.

Sina mtoto wala mimba natafuta mwanaume yoyote hata akiwa jobless sawa maana nimechoka kukaa pekee yangu.

Natanguliza shukrani yoyote ambae yuko seriously anipm

Nyieee nishajipatia mke mie [emoji23][emoji23]
 
Kuna miaka ya zamani kuna mdada alitoa tangazo km hili, akatokae mkaka akazingua kufika kwenye appointment pale kwenye mgahawa opposite na British.... Baadae kaka akajuta kujua yule bibie ni rubani. Sasa huyu amejitaja kbs jobless mnahitajika kikubwa nguvu mnambwelambwela.
 
Hawajiamini 😂 😂
 
Unataka kucheza na akili za watu eti una masters na unaishi marekani Tena unaongezea umezaliwa Kilimanjaro kwamba wewe ni mchaga kupima watu akili ,basi tambua hao wachaga wanaolewa wala hamna shida kama nadharia za watu wanavyodai
 
Alivyoandika "hapo hapo Hill..." nikajua hamna kitu

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
hehehe wanaume ni dhaifu sana mbele ya mtoto wa kike, ndo maana hata wauza madawa majambazi wakubwa hukamatwa kwa njia ya kijasusi ya kutumia mitego ya wanawake. ila sasa kuna na hawa wanaume wanataka dolla 20 20 za wanaume wenzake pm
 
Back
Top Bottom