Natafuta mume

Jaribu bahati yako

 
Miss mia last seen today 6:47 A.M

Lumumbashi last seen, today 6:48 A.M


Gaganiga last seen, today 8:43 A.M

Kwa sasa anaandaa vyombo vya kahawa ili arudi kuwacheka wale waliomchombeza PM.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu jomoneeee lol.
 
Mimi mwenyewe nimechoka kukaa pekee yangu. Ila sio jobless nimekukosa
 
Humu sio sehemu ya kufanyia tafiti zako
 
Kuna kigezo kidogo umekosa hapo, me nataka wa Korea
 
Kaweke tangazo lako dogo [emoji23][emoji23]
Halafu ujue me si dogo hahahaaaaa, ni lizee flani hivi.

Depal ninahisi tunaishi jirani,hebu tuonane please. Japo tujuane
 
mwandiko wa kiume kabisa huu. atapigwa mtu humu muda si mrefu
Ndo mana ametanguliza kusema yeye ni daktari wa watoto. Nilitaka nimshauri atafute mgonjwa aliyetelekezwa na ndugu hospitali au asiye na ndugu, amtibu kisha ayajenge naye na kumchukua home.
 
Mimi pia nahitaji mke,tena nipo serious kabisa niende naye kanisani.Ila si jobless, nina kazi yangu na kipato changu na maisha yanaenda.

Nichukue mimi mkuu, i am ex Muhas ila sihitaji jobless
 
Mume nimekuja lakini PM imefungwa, sijui nimechelewa kupata huyu mkeeee
 
Nipm upate mume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…