Natafuta mume

Natafuta mume

Bwana yesu asifiwe!

Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja.

Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina bachelor degree ya medicine niliyoipata chuo cha muhimbili na pia nina masters degree ya medicine specialise kwwa watoto kwa maana bachelor degree ya medicine in pediatric niliyoipata chuo kikuu cha hilford nchini marekani kwa sasa nina fanya kazi hospitali ya hapo hapo Hilford nchini marekani.

Sina mtoto wala mimba natafuta mwanaume yoyote hata akiwa jobless sawa maana nimechoka kukaa pekee yangu.

Natanguliza shukrani yoyote ambae yuko seriously anipm
NJOO PM
 
Bachelor degree ya medicine in pediatric?? Fafanua hapa mkuu!
 
Bwana yesu asifiwe!

Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja.

Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina bachelor degree ya medicine niliyoipata chuo cha muhimbili na pia nina masters degree ya medicine specialise kwwa watoto kwa maana bachelor degree ya medicine in pediatric niliyoipata chuo kikuu cha hilford nchini marekani kwa sasa nina fanya kazi hospitali ya hapo hapo Hilford nchini marekani.

Sina mtoto wala mimba natafuta mwanaume yoyote hata akiwa jobless sawa maana nimechoka kukaa pekee yangu.

Natanguliza shukrani yoyote ambae yuko seriously anipm
Asante ,mm naitwa Steven Simba nipo Kilimanjaro tuwasiliane kwa WhatsApp +255755144754 au e mail mihambosteven24@gmail.com
 
Back
Top Bottom