Natafuta Mume

Natafuta Mume

Jamani naomba mnisamehe bure mi ni mgeni hapa Kwa hiyo niliweka thread nikafikiri nareply kwenye thread niliyopost kumbe nimeingia mwingine. Nimekosea wapendwa nisamehewe bure Tu. Busy B nisamehe sister a

Sio kosa lake nadhani mods wameunganisha uzi wake na wako. Kosa ni lao na sijui wametumia kigezo gani kufanya hivyo.
Huenda majina yenu kufanana yamewachanganya

Copy hiyo comment yako then paste kwenye uzi wako, na uandike mods wasiuunganishe na huu coz nyie si mtu mmoja.
Yes Mods ndo waliunganisha threads nadhani sbb majina yanafanana.
 
Jamani naomba mnisamehe bure mi ni mgeni hapa Kwa hiyo niliweka thread nikafikiri nareply kwenye thread niliyopost kumbe nimeingia mwingine. Nimekosea wapendwa nisamehewe bure Tu. Busy B nisamehe sister angu
Wala sio kosa lako mdogo wangu.
Mods walituunganisha ila sasa hv wamezitenganisha.
 
Mimi ni mdada WA miaka 37 sina mtoto, natafuta mume wa ukweli. Mimi ni mkristo, elimu yangu form six, mjasiriamali mdogo.

Mwanaume awe na miaka 35 na kuendelea. Njoo PM tuongee kisha tukikubaliana ndipo tuanze safari.
Mungu akutangulie upate mume bora
 
Ongea ukweli una miaka mingapi maana huu mwandiko naona Kama una 43
Usipunguze miaka Mama
 
Du wewe dada ni hatari yaan Una 37 afu unataka mume WA 35 badala ya kutafuta MTU wa 40+ uko
 
Zidi kumuomba na Mungu akupatie alie Bora na wakufanana nae ..Amini utapata
 
Kuna uzazi hapa kweli au ndo mdogo wake jide & wema
 
Mimi ni mdada WA miaka 37 sina mtoto, natafuta mume wa ukweli. Mimi ni mkristo, elimu yangu form six, mjasiriamali mdogo.

Mwanaume awe na miaka 35 na kuendelea. Njoo PM tuongee kisha tukikubaliana ndipo tuanze safari.
Njoo pm kwangu upate hitaji la moyo wako
 
Mimi ni mdada WA miaka 37 sina mtoto, natafuta mume wa ukweli. Mimi ni mkristo, elimu yangu form six, mjasiriamali mdogo.

Mwanaume awe na miaka 35 na kuendelea. Njoo PM tuongee kisha tukikubaliana ndipo tuanze safari.
Asante nipo Kilimanjaro 0755144754
 
Back
Top Bottom