Natafuta Mume

NYANGETA1

Member
Joined
Jun 24, 2023
Posts
23
Reaction score
19
Habari zenu wa MMU...Uzi huu nimeamua kuandika baada ya mdada mmoja kunipa ushuhuda alipa true love hapa ndani....I hope na mimi nitapata Mungu akipenda

Natambua uwepo wa wakaka walioumizwa na mahusiano, waliotulia na wanatakani ku- settle na kujenga familia.

Mimi Nina miaka 25
Ni mama wa mtoto 1
Nina kazi
Ni maji ya kunde
Ni mkristo

Ninatafuta mume umri asinizidi zaidi ya miaka 7
Kuwa na mtoto au kutokuwa nae kwangu sio kigezo
Awe anajishugulisha
Awe mkristo (akiwa na hofu ya Mungu na mpenda ibada atanifaa sana)
Mengine tunaelewana kadri tutakavyofahamiana

Natamani maisha yangu yaliyobaki niyatumie kumpendeza Mungu na kujenga familia na zaidi natamani kupata mume nitakayezeeka nae.

Nawasilisha

NB. Usiniambie sikuwaona niliosoma nao au siwaoni mtaani kwangu....mume anatafuta popote .

Sina tatizo lolote la akiafya wala kitabia nimeamua kutafuta mtu hapa kujaribu bahati yangu ...True love inapatikana popote

Wale wa matusi,kejeli, dharau, comment za kuvunja wenzenu mioyo, .... natambua mnahitaji msaada wa kisaikolojia...wengine mna stress za ndoa maisha na kiuchumi ndio maana mnakuwa hivyo natambua uwepo wenu ila naomba Leo mkae mbali na huu Uzi [emoji23]
 
Yaani umezunguka kote huko ukaona uje kutafuta mme JF?
Lakini anyway nakutakia kila la kheri! Kwa kuwa una hofu ya Mungu,atakutafutia Mme ambaye utafanana naye! Tena mwambie akuchagulie Mme bora.
 
Mume nilikua hapa tayari sema tatizo ni hiyo 1-0
 
Hamna muolewaji hapa...🤣🤣🤣🤣 Mtu mwenyewe mtumba alafu mkali kama pilipili🤣🤣🤣
 
Una 'K' tamu?
 
Mbona umeweka kigingi?

Nnao wema sana wankuweza kukuoa Waislam.

Usiogope kuewa na Muislam. Uislam ni mwema sana.

Unajuwa Uislam au unauigopa tu?
 
Kila la kheri, naona washaanza kuuliza uwaoneshe kaburi la uliezaa nae ndio wakuoe,
 
Mcha Mungu mbona una maneno mengi hivyo? Mipasho daah
 
Uzi huu nimeamua kuandika baada ya mdada mmoja kunipa ushuhuda alipa true love hapa ndani
Kapigwa katelekezwa Aliyetelekezwa njoo umchukue ndugu yako umempiga fix na yeye anatafuta mimba Jf atapigwa mimba alafu atatelekezwa asilete masihara na Jf utapigwa mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…