Natafuta Mume

Natafuta Mume

Nyangeta, spishi ya kijita Moja !! Jita OG .

Uzi wako umeuweka kibabe, Ndioooo hongera, sio kisa Umeza basi et uwe mteremko, uwe kinyongeee ,,, hapana.



Embu Njoo PM tuyajenge
 
Nyangeta, spishi ya kijita Moja !! Jita OG .

Uzi wako umeuweka kibabe, Ndioooo hongera, sio kisa Umeza basi et uwe mteremko, uwe kinyongeee ,,, hapana.



Embu Njoo PM tuyajenge
Aje PM ngoj tusbir kimasihara hapa
 
Ukiwa tayari nicheki nikuunge na ndugu angu..
Yeye umri: 50
Elimu : Mwalimu
Dini :Muslim..
Ukiwa serious lakini.
 
Habari zenu wa MMU...Uzi huu nimeamua kuandika baada ya mdada mmoja kunipa ushuhuda alipa true love hapa ndani....I hope na mimi nitapata Mungu akipenda

Natambua uwepo wa wakaka walioumizwa na mahusiano, waliotulia na wanatakani ku- settle na kujenga familia.

Mimi Nina miaka 25
Ni mama wa mtoto 1
Nina kazi
Ni maji ya kunde
Ni mkristo

Ninatafuta mume umri asinizidi zaidi ya miaka 7
Kuwa na mtoto au kutokuwa nae kwangu sio kigezo
Awe anajishugulisha
Awe mkristo (akiwa na hofu ya Mungu na mpenda ibada atanifaa sana)
Mengine tunaelewana kadri tutakavyofahamiana

Natamani maisha yangu yaliyobaki niyatumie kumpendeza Mungu na kujenga familia na zaidi natamani kupata mume nitakayezeeka nae.

Nawasilisha

NB. Usiniambie sikuwaona niliosoma nao au siwaoni mtaani kwangu....mume anatafuta popote .

Sina tatizo lolote la akiafya wala kitabia nimeamua kutafuta mtu hapa kujaribu bahati yangu ...True love inapatikana popote

Wale wa matusi,kejeli, dharau, comment za kuvunja wenzenu mioyo, .... natambua mnahitaji msaada wa kisaikolojia...wengine mna stress za ndoa maisha na kiuchumi ndio maana mnakuwa hivyo natambua uwepo wenu ila naomba Leo mkae mbali na huu Uzi [emoji23]
Ni pm
 
Back
Top Bottom