Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
😀😀😀Ni kazi yenu kuwasema, huoni wanaume wapo busy kuwaponda single moms!
Sophy inabidi nibadili dini😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀Ni kazi yenu kuwasema, huoni wanaume wapo busy kuwaponda single moms!
Sophy inabidi nibadili dini😁😁
Aje PM ngoj tusbir kimasihara hapaNyangeta, spishi ya kijita Moja !! Jita OG .
Uzi wako umeuweka kibabe, Ndioooo hongera, sio kisa Umeza basi et uwe mteremko, uwe kinyongeee ,,, hapana.
Embu Njoo PM tuyajenge
Ni pmHabari zenu wa MMU...Uzi huu nimeamua kuandika baada ya mdada mmoja kunipa ushuhuda alipa true love hapa ndani....I hope na mimi nitapata Mungu akipenda
Natambua uwepo wa wakaka walioumizwa na mahusiano, waliotulia na wanatakani ku- settle na kujenga familia.
Mimi Nina miaka 25
Ni mama wa mtoto 1
Nina kazi
Ni maji ya kunde
Ni mkristo
Ninatafuta mume umri asinizidi zaidi ya miaka 7
Kuwa na mtoto au kutokuwa nae kwangu sio kigezo
Awe anajishugulisha
Awe mkristo (akiwa na hofu ya Mungu na mpenda ibada atanifaa sana)
Mengine tunaelewana kadri tutakavyofahamiana
Natamani maisha yangu yaliyobaki niyatumie kumpendeza Mungu na kujenga familia na zaidi natamani kupata mume nitakayezeeka nae.
Nawasilisha
NB. Usiniambie sikuwaona niliosoma nao au siwaoni mtaani kwangu....mume anatafuta popote .
Sina tatizo lolote la akiafya wala kitabia nimeamua kutafuta mtu hapa kujaribu bahati yangu ...True love inapatikana popote
Wale wa matusi,kejeli, dharau, comment za kuvunja wenzenu mioyo, .... natambua mnahitaji msaada wa kisaikolojia...wengine mna stress za ndoa maisha na kiuchumi ndio maana mnakuwa hivyo natambua uwepo wenu ila naomba Leo mkae mbali na huu Uzi [emoji23]