stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Hili jamaa kumbe ni Dubwashaka, hua unazinunua mkuu ?Una 'K' tamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jamaa kumbe ni Dubwashaka, hua unazinunua mkuu ?Una 'K' tamu?
Ukishapigwa mimba kisha jamaa akaingia mitini uje tena kujieleza upya humu tena uje na ID mpya Bradford uje na ID mpya ukishajazwa kitumbo na jamàa kutokomea kusikojulikanaWale wa matusi,kejeli, dharau, comment za kuvunja wenzenu mioyo, .... natambua mnahitaji msaada wa kisaikolojia...wengine mna stress za ndoa maisha na kiuchumi ndio maana mnakuwa hivyo natambua uwepo wenu ila naomba Leo mkae mbali na huu Uzi
Lazima aliezaa nae awe anamgonga hilo lipo wazi bila kificho ukioa umeoa mke wa mtu ambae amekorofishana na mumewe kwa mda tu km geresha mumewe akirudi anatundika daruga km kawaida, ukioa km huyu hasira zako weka mfukoni usije ukamng'oa meno na praiziTatizo la kuoa wanawake wenye watoto, piga ua garagaza lazima Kuna siku atakutana kimwili yaani atampa uroda aliye zaa nae. Kingine lazima awe na contact na mashangazi wa mtoto na hapo ndio tatizo linapoanzia.
Inshort we ni Ri single Mother sio??????Habari zenu wa MMU...Uzi huu nimeamua kuandika baada ya mdada mmoja kunipa ushuhuda alipa true love hapa ndani....I hope na mimi nitapata Mungu akipenda
Natambua uwepo wa wakaka walioumizwa na mahusiano, waliotulia na wanatakani ku- settle na kujenga familia.
Mimi Nina miaka 25
Ni mama wa mtoto 1
Nina kazi
Ni maji ya kunde
Ni mkristo
Ninatafuta mume umri asinizidi zaidi ya miaka 7
Kuwa na mtoto au kutokuwa nae kwangu sio kigezo
Awe anajishugulisha
Awe mkristo (akiwa na hofu ya Mungu na mpenda ibada atanifaa sana)
Mengine tunaelewana kadri tutakavyofahamiana
Natamani maisha yangu yaliyobaki niyatumie kumpendeza Mungu na kujenga familia na zaidi natamani kupata mume nitakayezeeka nae.
Nawasilisha
NB. Usiniambie sikuwaona niliosoma nao au siwaoni mtaani kwangu....mume anatafuta popote .
Sina tatizo lolote la akiafya wala kitabia nimeamua kutafuta mtu hapa kujaribu bahati yangu ...True love inapatikana popote
Wale wa matusi,kejeli, dharau, comment za kuvunja wenzenu mioyo, .... natambua mnahitaji msaada wa kisaikolojia...wengine mna stress za ndoa maisha na kiuchumi ndio maana mnakuwa hivyo natambua uwepo wenu ila naomba Leo mkae mbali na huu Uzi [emoji23]
Kama zinauzwa kwanini zisinunuliwe?Hili jamaa kumbe ni Dubwashaka, hua unazinunua mkuu ?
Sababu zina MENOKama zinauzwa kwanini zisinunuliwe?
Duh maneno makali sanaUngekua na hofu ya Mungu usingepanua miguu ukojolewe ndani ili hali bado una miaka 25. Umeanza ngono mapema sana
Anataka mtu mwenye hofu ya Mungu wakati yeye hana hiyo hofuDuh maneno makali sana
Kaambiwa ukweli, ukweli siku zote unauma. Single mom atafute single dad, walau hapo kuna ufanano. Hapa wajitokeze single dads ili tumalize huu utata.Duh maneno makali sana
Habari zenu wa MMU...Uzi huu nimeamua kuandika baada ya mdada mmoja kunipa ushuhuda alipa true love hapa ndani....I hope na mimi nitapata Mungu akipenda
Natambua uwepo wa wakaka walioumizwa na mahusiano, waliotulia na wanatakani ku- settle na kujenga familia.
Mimi Nina miaka 25
Ni mama wa mtoto 1
Nina kazi
Ni maji ya kunde
Ni mkristo
Ninatafuta mume umri asinizidi zaidi ya miaka 7
Kuwa na mtoto au kutokuwa nae kwangu sio kigezo
Awe anajishugulisha
Awe mkristo (akiwa na hofu ya Mungu na mpenda ibada atanifaa sana)
Mengine tunaelewana kadri tutakavyofahamiana
Natamani maisha yangu yaliyobaki niyatumie kumpendeza Mungu na kujenga familia na zaidi natamani kupata mume nitakayezeeka nae.
Nawasilisha
NB. Usiniambie sikuwaona niliosoma nao au siwaoni mtaani kwangu....mume anatafuta popote .
Sina tatizo lolote la akiafya wala kitabia nimeamua kutafuta mtu hapa kujaribu bahati yangu ...True love inapatikana popote
Wale wa matusi,kejeli, dharau, comment za kuvunja wenzenu mioyo, .... natambua mnahitaji msaada wa kisaikolojia...wengine mna stress za ndoa maisha na kiuchumi ndio maana mnakuwa hivyo natambua uwepo wenu ila naomba Leo mkae mbali na huu Uzi [emoji23]
Ndo kashakosea Tena hakuna namna mumuoe tuAnataka mtu mwenye hofu ya Mungu wakati yeye hana hiyo hofu
single dads nao ni vichomi pia kama walivo single mother ila mbona hamuwasemi tenawengine ni mtoto zaidi ya mmojaKaambiwa ukweli, ukweli siku zote unauma. Single mom atafute single dad, walau hapo kuna ufanano. Hapa wajitokeze single dads ili tumalize huu utata.
Muoe wewe.Ndo kashakosea Tena hakuna namna mumuoe tu
Ni kazi yenu kuwasema, huoni wanaume wapo busy kuwaponda single moms!single dads nao ni vichomi pia kama walivo single mother ila mbona hamuwasemi tenawengine ni mtoto zaidi ya mmoja
😂😂😭😂DahMuoe wewe.
Fool me once shame on you, fool me twice shame on meHabari zenu wa MMU...Uzi huu nimeamua kuandika baada ya mdada mmoja kunipa ushuhuda alipa true love hapa ndani....I hope na mimi nitapata Mungu akipenda