Natafuta Mume

Natafuta Mume

Wale wa matusi,kejeli, dharau, comment za kuvunja wenzenu mioyo, .... natambua mnahitaji msaada wa kisaikolojia...wengine mna stress za ndoa maisha na kiuchumi ndio maana mnakuwa hivyo natambua uwepo wenu ila naomba Leo mkae mbali na huu Uzi
Ukishapigwa mimba kisha jamaa akaingia mitini uje tena kujieleza upya humu tena uje na ID mpya Bradford uje na ID mpya ukishajazwa kitumbo na jamàa kutokomea kusikojulikana

Aliyetelekezwa njoo umpe somo huyu
 
Tatizo la kuoa wanawake wenye watoto, piga ua garagaza lazima Kuna siku atakutana kimwili yaani atampa uroda aliye zaa nae. Kingine lazima awe na contact na mashangazi wa mtoto na hapo ndio tatizo linapoanzia.
 
Lazima aliezaa nae awe anamgonga hilo lipo wazi bila kificho ukioa umeoa mke wa mtu ambae amekorofishana na mumewe kwa mda tu km geresha mumewe akirudi anatundika daruga km kawaida, ukioa km huyu hasira zako weka mfukoni usije ukamng'oa meno na praizi
 
Habari zenu wa MMU...Uzi huu nimeamua kuandika baada ya mdada mmoja kunipa ushuhuda alipa true love hapa ndani....I hope na mimi nitapata Mungu akipenda

Natambua uwepo wa wakaka walioumizwa na mahusiano, waliotulia na wanatakani ku- settle na kujenga familia.

Mimi Nina miaka 25
Ni mama wa mtoto 1
Nina kazi
Ni maji ya kunde
Ni mkristo

Ninatafuta mume umri asinizidi zaidi ya miaka 7
Kuwa na mtoto au kutokuwa nae kwangu sio kigezo
Awe anajishugulisha
Awe mkristo (akiwa na hofu ya Mungu na mpenda ibada atanifaa sana)
Mengine tunaelewana kadri tutakavyofahamiana

Natamani maisha yangu yaliyobaki niyatumie kumpendeza Mungu na kujenga familia na zaidi natamani kupata mume nitakayezeeka nae.

Nawasilisha

NB. Usiniambie sikuwaona niliosoma nao au siwaoni mtaani kwangu....mume anatafuta popote .

Sina tatizo lolote la akiafya wala kitabia nimeamua kutafuta mtu hapa kujaribu bahati yangu ...True love inapatikana popote

Wale wa matusi,kejeli, dharau, comment za kuvunja wenzenu mioyo, .... natambua mnahitaji msaada wa kisaikolojia...wengine mna stress za ndoa maisha na kiuchumi ndio maana mnakuwa hivyo natambua uwepo wenu ila naomba Leo mkae mbali na huu Uzi [emoji23]
Inshort we ni Ri single Mother sio??????
 
Ungekua na hofu ya Mungu usingepanua miguu ukojolewe ndani ili hali bado una miaka 25. Umeanza ngono mapema sana
 
Ukisema huna tatizo lolote la kiafya ni sawa. Lakini ukijumuisha hapo kuwa pia huna tatizo lolote la kitabia nadhani sio sawa.

Kila mtu ana tabia fulani ambayo ni nzuri au sio nzuri, ni tatizo tayari. Hakuna binadamu mkamilifu.
 
Habari zenu wa MMU...Uzi huu nimeamua kuandika baada ya mdada mmoja kunipa ushuhuda alipa true love hapa ndani....I hope na mimi nitapata Mungu akipenda

Natambua uwepo wa wakaka walioumizwa na mahusiano, waliotulia na wanatakani ku- settle na kujenga familia.

Mimi Nina miaka 25
Ni mama wa mtoto 1
Nina kazi
Ni maji ya kunde
Ni mkristo

Ninatafuta mume umri asinizidi zaidi ya miaka 7
Kuwa na mtoto au kutokuwa nae kwangu sio kigezo
Awe anajishugulisha
Awe mkristo (akiwa na hofu ya Mungu na mpenda ibada atanifaa sana)
Mengine tunaelewana kadri tutakavyofahamiana

Natamani maisha yangu yaliyobaki niyatumie kumpendeza Mungu na kujenga familia na zaidi natamani kupata mume nitakayezeeka nae.

Nawasilisha

NB. Usiniambie sikuwaona niliosoma nao au siwaoni mtaani kwangu....mume anatafuta popote .

Sina tatizo lolote la akiafya wala kitabia nimeamua kutafuta mtu hapa kujaribu bahati yangu ...True love inapatikana popote

Wale wa matusi,kejeli, dharau, comment za kuvunja wenzenu mioyo, .... natambua mnahitaji msaada wa kisaikolojia...wengine mna stress za ndoa maisha na kiuchumi ndio maana mnakuwa hivyo natambua uwepo wenu ila naomba Leo mkae mbali na huu Uzi [emoji23]

"NB. Usiniambie sikuwaona niliosoma nao au siwaoni mtaani kwangu....mume anatafuta popote"

Huu uandishi unasema kwa mapana tabia na hulka zakl....
 
Kaambiwa ukweli, ukweli siku zote unauma. Single mom atafute single dad, walau hapo kuna ufanano. Hapa wajitokeze single dads ili tumalize huu utata.
single dads nao ni vichomi pia kama walivo single mother ila mbona hamuwasemi tenawengine ni mtoto zaidi ya mmoja
 
Ni kazi yenu kuwasema, huoni wanaume wapo busy kuwaponda single moms!

Sophy inabidi nibadili dini😁😁
 
Habari zenu wa MMU...Uzi huu nimeamua kuandika baada ya mdada mmoja kunipa ushuhuda alipa true love hapa ndani....I hope na mimi nitapata Mungu akipenda

Natambua uwepo wa wakaka walioumizwa na mahusiano, waliotulia na wanatakani ku- settle na kujenga familia.

Mimi Nina miaka 25
Ni mama wa mtoto 1
Nina kazi
Ni maji ya kunde
Ni mkristo

Ninatafuta mume umri asinizidi zaidi ya miaka 7
Kuwa na mtoto au kutokuwa nae kwangu sio kigezo
Awe anajishugulisha
Awe mkristo (akiwa na hofu ya Mungu na mpenda ibada atanifaa sana)
Mengine tunaelewana kadri tutakavyofahamiana

Natamani maisha yangu yaliyobaki niyatumie kumpendeza Mungu na kujenga familia na zaidi natamani kupata mume nitakayezeeka nae.

Nawasilisha

NB. Usiniambie sikuwaona niliosoma nao au siwaoni mtaani kwangu....mume anatafuta popote .

Sina tatizo lolote la akiafya wala kitabia nimeamua kutafuta mtu hapa kujaribu bahati yangu ...True love inapatikana popote

Wale wa matusi,kejeli, dharau, comment za kuvunja wenzenu mioyo, .... natambua mnahitaji msaada wa kisaikolojia...wengine mna stress za ndoa maisha na kiuchumi ndio maana mnakuwa hivyo natambua uwepo wenu ila naomba Leo mkae mbali na huu Uzi [emoji23]
Fool me once shame on you, fool me twice shame on me
Its your fault to be fooled again
Nakutakia audition njema madam
 
Kama unaweza kujilisha na unahitaji heshima ya ndoa tu nicheki
 
Back
Top Bottom