Mimi kabla ya yote utwambie wewe unafanya kazi gani na kipato chako kwa mwezi nishilling ngapi hapo tuone kama masharti na vigezo vimezingatiwa nihayo tu!
Mie sio mama huruma..Na sikupost thread kupoteza wakati..Thanks to Invisible and the team kwa kuweka hii subforum.
Asante kijana google hata wewe kuna siku utazeeka.. Kwani wazee hawana haki ya kuwa na wenzi??
nivea Sijataka kuolewa na mtoto wako.Nimeweka wazi kuwa nataka "mzee" mwenzangu...Hata hivyo Mungu akubariki na hongera kwa ujana na ndoa nzuri.
Asante lakna naamini Mungu ataendelea kunipa uzima na nastahilin kuwa na mtu.
Kila la kheri dada yangu utapata. Ila be careful wasanii wanalugha na behaviour nzuri wakati wa kukutafuta kuliko waoaji wenyewe. Ujue maswala ya kutongozana haya nayo ni fani hivyo kuna wataalam ambao wanauzoefu. Na wenye uzoefu ni malaya wa kiume. Wako so smart wanajua wakwambie nini wakati gani na hawana hasira. Watakaokuwa wapo serious na wanataka kweli kukuoa asilimia kubwa ni wakaka "waliojitunza" sasa umefika muda wanataka kuoa lakini kutongoza hawajui na humu jamiiforums ambapo hamuonani ana kwa ana ndoo wanaona ndoo pakuanzia. Siku mkijakuonana patakuwa sio rahisi kama unavyodhani maana wewe utategemea aoneshe kama yeye ni mume mtarajiwa na yeye atataka wewe uoneshe kama ni mke mtarajiwa patakuwa na kazi. La msingi mtangulize Mungu akili peke yake kwenye hili haitoshi.
Cna maana mbaya dada yangu!! Nisamehe!!
Frustrations baada ya several nibuti.Sipigikimya ng'ooo!:target:
Mie, Islamic nikibadili dini je? ni PM sasa...
Utani gani? nipo seriousAcha utani.......
Acha utani.......
Dadangu Hiroko usikatishwe tamaa na hawa wanaokubeza. Mungu yu mwema na msikivu wa vilio vya waja wake. Endelea kumuomba wakati nami nikikuombea.
Nakushauri wasamehe wote wanaokubeza kwakuwa hawajui walifanyalo. Yesu alibezwa seuze wewe.
Mwisho wa siku watajutia vibezo vyao. Roho zao zitawasuta utakapoleta ushuhuda hapa wakati nao washakuwa "wazee"
Mungu na akuongoze katika njia zako.
Ciello huyu mwingine kama yule wa jana pensi kavalia wapi msulia aje kuvalia kwa watoto watu lol
Hivi menopause huwa inaanzia age ngapi vile?
mkuu....dada kasema kama huna la kuongea piga kimya.....menopause hapa imekujaje.......?
Appology accepted