Natafuta mume.

Natafuta mume.

Zis sredi izi klozed for you. Leo si utakuja mtambuzi pub? Tunamtoa dogo outing.
Mimi kabla ya yote utwambie wewe unafanya kazi gani na kipato chako kwa mwezi nishilling ngapi hapo tuone kama masharti na vigezo vimezingatiwa nihayo tu!
 
Kila la kheri dada yangu utapata. Ila be careful wasanii wanalugha na behaviour nzuri wakati wa kukutafuta kuliko waoaji wenyewe. Ujue maswala ya kutongozana haya nayo ni fani hivyo kuna wataalam ambao wanauzoefu. Na wenye uzoefu ni malaya wa kiume. Wako so smart wanajua wakwambie nini wakati gani na hawana hasira. Watakaokuwa wapo serious na wanataka kweli kukuoa asilimia kubwa ni wakaka "waliojitunza" sasa umefika muda wanataka kuoa lakini kutongoza hawajui na humu jamiiforums ambapo hamuonani ana kwa ana ndoo wanaona ndoo pakuanzia. Siku mkijakuonana patakuwa sio rahisi kama unavyodhani maana wewe utategemea aoneshe kama yeye ni mume mtarajiwa na yeye atataka wewe uoneshe kama ni mke mtarajiwa patakuwa na kazi. La msingi mtangulize Mungu akili peke yake kwenye hili haitoshi.
 
Mie sio mama huruma..Na sikupost thread kupoteza wakati..Thanks to Invisible and the team kwa kuweka hii subforum.

Asante kijana google hata wewe kuna siku utazeeka.. Kwani wazee hawana haki ya kuwa na wenzi??

nivea Sijataka kuolewa na mtoto wako.Nimeweka wazi kuwa nataka "mzee" mwenzangu...Hata hivyo Mungu akubariki na hongera kwa ujana na ndoa nzuri.

Asante lakna naamini Mungu ataendelea kunipa uzima na nastahilin kuwa na mtu.

Cna maana mbaya dada yangu!! Nisamehe!!
 
Last edited by a moderator:
Kila la kheri dada yangu utapata. Ila be careful wasanii wanalugha na behaviour nzuri wakati wa kukutafuta kuliko waoaji wenyewe. Ujue maswala ya kutongozana haya nayo ni fani hivyo kuna wataalam ambao wanauzoefu. Na wenye uzoefu ni malaya wa kiume. Wako so smart wanajua wakwambie nini wakati gani na hawana hasira. Watakaokuwa wapo serious na wanataka kweli kukuoa asilimia kubwa ni wakaka "waliojitunza" sasa umefika muda wanataka kuoa lakini kutongoza hawajui na humu jamiiforums ambapo hamuonani ana kwa ana ndoo wanaona ndoo pakuanzia. Siku mkijakuonana patakuwa sio rahisi kama unavyodhani maana wewe utategemea aoneshe kama yeye ni mume mtarajiwa na yeye atataka wewe uoneshe kama ni mke mtarajiwa patakuwa na kazi. La msingi mtangulize Mungu akili peke yake kwenye hili haitoshi.

Thank you very much for this useful post.U dont know how much umetutia moyo mimi na walio kama mimi ambao naamini ni wengi.
 
Acha utani.......

Dadangu Hiroko usikatishwe tamaa na hawa wanaokubeza. Mungu yu mwema na msikivu wa vilio vya waja wake. Endelea kumuomba wakati nami nikikuombea.

Nakushauri wasamehe wote wanaokubeza kwakuwa hawajui walifanyalo. Yesu alibezwa seuze wewe.

Mwisho wa siku watajutia vibezo vyao. Roho zao zitawasuta utakapoleta ushuhuda hapa wakati nao washakuwa "wazee"

Mungu na akuongoze katika njia zako.
 
Amiiiina.Nimefarijika sana na maneno haya ya busara..Mungu akubariki
 
Ciello huyu mwingine kama yule wa jana pensi kavalia wapi msulia aje kuvalia kwa watoto watu lol

Kiukweli kabisa nivea siamini kama ni wewe umepost hii makitu. Kuna mtu kakuibia password yako?

Naamini hata Ciello uliyem-mention hawezi kuisapoti kauli yako hii ya kukatisha tamaa na kubeza kwa kiwango hiki.

Nakushauri usirudie maneno ya kejeli namna hii kwabinadamu mwenzako atafutaye kwa dhati.

Haya tuyafanyie kule chitchat

Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Hivi menopause huwa inaanzia age ngapi vile?

Dah.! Bi Hiroko amesema anatafuta mme au mtoto?

Kwa taarifa yako mtoto ni Majaliwa ya Mungu . Wangapi wameoana wakiwa watoto na wamezeeka bila kupata mtoto?

Waweza tamba una watoto kumbe unalea watoto wa wenzio.
 
Last edited by a moderator:
Wewe sema amina tu hapa. Anakuja kama kondoo, akigeuka anakurarua,lol. Asprin, wakezo 4 hawajambo? Na wale masuria je?
Amiiiina.Nimefarijika sana na maneno haya ya busara..Mungu akubariki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom