Mm ni mdada nina miaka 29 naishi kanda ya ziwa. Ninatafuta mume.. Kwa imani kuwa mwenza anapatikana pole.
Wasifu wangu:
Mrefu shape ya wastani sio mnene wala mwembamba. Rangi maji ya kunde.
Dini: mkristo.
Elimu: degdree ktk sekta ya afya.
Sifa za ninaye mtafuta :
Mwanaume umri 30-32yrs
Mkristo,Mrefu, elimu kuanzia diploma. Please pm me kama uko serious. Mbarikiwe sana.
JF bwana ni ya vibibi na vibabu tu. kila member mwanamke anayetafuta mchumba kigezo cha miaka kinapiga nchini. mmmh!
Umeshatoa taarifa polisi ni R.B ngapi au unatafuta tu bila taarifa?
Swali zuri sana
:thumbup: