Natafuta mume

Natafuta mume

mkakeni

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
72
Reaction score
63
Mm ni mdada nina miaka 29 naishi kanda ya ziwa. Ninatafuta mume.. Kwa imani kuwa mwenza anapatikana pole.

Wasifu wangu:

Mrefu shape ya wastani sio mnene wala mwembamba. Rangi maji ya kunde.

Dini: mkristo.

Elimu: degdree ktk sekta ya afya.

Sifa za ninaye mtafuta :
Mwanaume umri 30-32yrs
Mkristo,Mrefu, elimu kuanzia diploma. Please pm me kama uko serious. Mbarikiwe sana.
 
JF bwana ni ya vibibi na vibabu tu. kila member mwanamke anayetafuta mchumba kigezo cha miaka kinapiga nchini. mmmh!
 
Tutafutane jaman !! Mim niko huku huku Kanda Ya ziwa!!
Yaan ni kama kipele kimempata mkunaji
 
JF bwana ni ya vibibi na vibabu tu. kila member mwanamke anayetafuta mchumba kigezo cha miaka kinapiga nchini. mmmh!

we bado mtoto, subiri wakati wako ukifika utaona tu vigezo vinaendana na wew, tulia bhana
 
Hoooouuh hoooouuuuhh...! Im uuuhhhh utapata tuu but...?anyway good luck
 
Nabaki kusubiri siku ya kuokota dodo na mm humu ndani
 
Mm ni mdada nina miaka 29 naishi kanda ya ziwa. Ninatafuta mume.. Kwa imani kuwa mwenza anapatikana pole.

Wasifu wangu:

Mrefu shape ya wastani sio mnene wala mwembamba. Rangi maji ya kunde.

Dini: mkristo.

Elimu: degdree ktk sekta ya afya.

Sifa za ninaye mtafuta :
Mwanaume umri 30-32yrs
Mkristo,Mrefu, elimu kuanzia diploma. Please pm me kama uko serious. Mbarikiwe sana.

una miaka 29,ongeza mitatu ya kujuana/kusomana,miwili ya uchumba ,...... too old.
 
mhh jamani watu humu mna shida!poor woman mtu hana uhuru wa kuandika kitu watu wana kazi ya kuzodoa tu utadhani wao malaika!
 
Back
Top Bottom