High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Mm ni mdada nina miaka 29 naishi kanda ya ziwa. Ninatafuta mume.. Kwa imani kuwa mwenza anapatikana pole.
Wasifu wangu:
Mrefu shape ya wastani sio mnene wala mwembamba. Rangi maji ya kunde.
Dini: mkristo.
Elimu: degdree ktk sekta ya afya.
Sifa za ninaye mtafuta :
Mwanaume umri 30-32yrs
Mkristo,Mrefu, elimu kuanzia diploma. Please pm me kama uko serious. Mbarikiwe sana.
utawamaliza na huku umekuja