Natafuta mume

Natafuta mume

Mm ni mdada nina miaka 29 naishi kanda ya ziwa. Ninatafuta mume.. Kwa imani kuwa mwenza anapatikana pole.

Wasifu wangu:

Mrefu shape ya wastani sio mnene wala mwembamba. Rangi maji ya kunde.

Dini: mkristo.

Elimu: degdree ktk sekta ya afya.

Sifa za ninaye mtafuta :
Mwanaume umri 30-32yrs
Mkristo,Mrefu, elimu kuanzia diploma. Please pm me kama uko serious. Mbarikiwe sana.

utawamaliza na huku umekuja
 
Mdada kachoka maisa ya kuitana dia nauku hata kwao hufahamiki....endelea kusearch dada watapatikana ila kuwa makini.......
 
Sasa nimeanza kuelewa aina ya wanaume wengi tuliomo humu ni reject mtaani,hatuuziki kabisa.

Ndio maana kuna post nyingi sana za wanaume humu wakilalamika kukosa wake au wapenzi wakati wanawake ni wengi na wamejaa kupita kawaida,wanapatikana kirahsi,kumbe wanaume wengi ni reject.

Masharti ya kawaida sana hayo huyo binti ametoa bado watu mnalalamika?

Mkuu mimi nimegundua kwamba wanaume wengi wa humu wana wivu sana, hasa pale wanapoona hawakidhi vigezo tajwa!
 
Dada waweza kupost photo yako mimi nipo mkoa wa geita na niko tayari kuwa nawewe kama vp tu communicate.
 
Back
Top Bottom