High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Mm ni mdada nina miaka 29 naishi kanda ya ziwa. Ninatafuta mume.. Kwa imani kuwa mwenza anapatikana pole.
Wasifu wangu:
Mrefu shape ya wastani sio mnene wala mwembamba. Rangi maji ya kunde.
Dini: mkristo.
Elimu: degdree ktk sekta ya afya.
Sifa za ninaye mtafuta :
Mwanaume umri 30-32yrs
Mkristo,Mrefu, elimu kuanzia diploma. Please pm me kama uko serious. Mbarikiwe sana.
na sis je tunaotumia jf mobile tunapiemuje sasa hatanayo hio option please assist
Njoo nikupe wangu kwa vigezo maalumu
Sasa nimeanza kuelewa aina ya wanaume wengi tuliomo humu ni reject mtaani,hatuuziki kabisa.
Ndio maana kuna post nyingi sana za wanaume humu wakilalamika kukosa wake au wapenzi wakati wanawake ni wengi na wamejaa kupita kawaida,wanapatikana kirahsi,kumbe wanaume wengi ni reject.
Masharti ya kawaida sana hayo huyo binti ametoa bado watu mnalalamika?
Umemchoka msukuma wako???
jamani jamani.... nipewe nini tena lol!!!!
utawamaliza na huku umekuja
nawe ulikuwa huvumi lakini umo [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mimi hapa....