Natafuta mumeo wa kunioa

Njoo pm
 
Babu enzi zenu wanawake walikua wanapitisha matangazo ya kutafuta mume?
Maisha yamebadilika sana mjukuu wangu. Enzi zetu sisi tulikuwa tunaviziana kisimani wakati wa kwenda kuchota maji, barabarani tukitumwa kwenda kununua mahitaji, nk. Hakukuwepo na matangazo ya aina hii!

Na hata kipindi hicho hizi tabia za ushoga zilikuwa hazijulikani kama zipo. Ila siku hizi mambo ni hadharani. Imagine mtu anaandika eti "natafuta mumeo wa kunioa" na wakati anatambua fika ni jinsia ya kiume, na hatokei Kenya!!
 

Babu! Ona hawa vidume.
 
' Natafuta mumeo wa kunioa" .Uwe muangalifu na waume za watu binti kwa nini usitafute mume wako na siyo mmewe?
 
Kwa sasa unaishi kenya au uko Bongo
 
is still available I'm seriuos
 
Mbona umewahi sana kuwa desperate rafiki??
 
Mimi hela sina tena sina kabisa vp nije PM au niwe ndugu mtazamaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…