Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Wanawake wa Kenya hapana mkuu!! 😂😂Bolotoba Monetary doctor Nomadix Olingi Nini lisusu, Tata? (unataka Nini tena Baba)
Au mpewe ukurutu mjukuneee haya kazi kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wa Kenya hapana mkuu!! 😂😂Bolotoba Monetary doctor Nomadix Olingi Nini lisusu, Tata? (unataka Nini tena Baba)
Au mpewe ukurutu mjukuneee haya kazi kwenu
Me mwenyewe nilistuka hapaNaondoka na neno "MUMEO" maana nilidhani umekosea kuandika nikurekebishe
Hela naitoa wapi nikijikuna mbupuz zatoa unga 🤣🤣🤣🤣Utapata oy mzabzab dili hili mazee ila uje na hela
Una akili sana mjukuu wangu.Mwandiko wa dume halafu anajiita mwanamitindo.
Babu enzi zenu wanawake walikua wanapitisha matangazo ya kutafuta mume?Una akili sana mjukuu wangu.
Njoo pmAwe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife
Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious
Kama Kuna yoyote anaitaji mahusiano yakudumu mpaka ndoa naomba uje PM tafadhali tuyajenge
Maisha yamebadilika sana mjukuu wangu. Enzi zetu sisi tulikuwa tunaviziana kisimani wakati wa kwenda kuchota maji, barabarani tukitumwa kwenda kununua mahitaji, nk. Hakukuwepo na matangazo ya aina hii!Babu enzi zenu wanawake walikua wanapitisha matangazo ya kutafuta mume?
Maisha yamebadilika sana mjukuu wangu. Enzi zetu sisi tulikuwa tunaviziana kisimani wakati wa kwenda kuchota maji, barabarani tukitumwa kwenda kununua mahitaji, nk. Hakukuwepo na matangazo ya aina hii!
Na hata kipindi hicho hizi tabia za ushoga zilikuwa hazijulikani kama zipo. Ila siku hizi mambo ni hadharani. Imagine mtu anaandika eti "natafuta mumeo wa kunioa" na wakati anatambua fika ni jinsia ya kiume, na hatokei Kenya!!
Astaghafullilah!!View attachment 3255422
Babu! Ona hawa vidume.
' Natafuta mumeo wa kunioa" .Uwe muangalifu na waume za watu binti kwa nini usitafute mume wako na siyo mmewe?Awe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife
Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious
Kama Kuna yoyote anaitaji mahusiano yakudumu mpaka ndoa naomba uje PM tafadhali tuyajenge
Kwa sasa unaishi kenya au uko BongoAwe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife
Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious
Kama Kuna yoyote anaitaji mahusiano yakudumu mpaka ndoa naomba uje PM tafadhali tuyajenge
is still available I'm seriuosAwe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife
Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious
Kama Kuna yoyote anaitaji mahusiano yakudumu mpaka ndoa naomba uje PM tafadhali tuyajenge
Mwandiko wa dume halafu anajiita mwanamitindo.
Mimi hela sina tena sina kabisa vp nije PM au niwe ndugu mtazamaji.Awe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife
Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious
Kama Kuna yoyote anaitaji mahusiano yakudumu mpaka ndoa naomba uje PM tafadhali tuyajenge