Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
GhaflaNRNE
😅😂😂😂😅😁Matajiri mmeshsjipata hata kiswahili mmekisahau!Matajiri ni noma sana.
Umewaza mbaliMatajiri mmeshsjipata hata kiswahili mmekisahau!Matajiri ni noma sana.
Wapi wewe najipongeza, betting sio hard earned 😅🤣🤣.Dah .. hard earned.money inaenda kumalizwa.kifara
Hizo stress Sasa ndio hard earned ..mana hukua umekaa umekunja nne umerelax, ulikua kama uko ICU ...Sasa iweje.umfaidishe mwanamke unaekutanaa nae siku Moja ? Kwanini usimpe mama yako mzazi hata umnunulie nyama leo apike pilau au umnunulie hata kitenge, au kama ana shida ya simu umnunulie kasimu hapo....au yawezekana una manzi yako pengine mmekua nae muda wote leo umeshika 2M unamuona kenge tu unatafuta uchi mpya...Wapi wewe najipongeza, betting sio hard earned 😅🤣🤣.
Nimekaa mda mrefu nikiangalia dk 90 za match ni full stress😩 nahitaji nijipoze kidogo
Eh bana eh muhindi amekubali kutoa pesa jana, no risk no story. Japo si pesa mingi lakini inatosha kutumbua maisha na musichana moja ya kienyeji. Burudani tutalianza ijumaa jioni mpaka jumapili alfajiri.
Vigezo: uwe dar es salaam, uwe mtoto wa kienyeji sitaki slay queen.
Amount to be spent in those two hot 🔥 days ≈ 2000000
PM is open!
Mama sawa, manzi sinaHizo stress Sasa ndio hard earned ..mana hukua umekaa umekunja nne umerelax, ulikua kama uko ICU ...Sasa iweje.umfaidishe mwanamke unaekutanaa nae siku Moja ? Kwanini usimpe mama yako mzazi hata umnunulie nyama leo apike pilau au umnunulie hata kitenge, au kama ana shida ya simu umnunulie kasimu hapo....au yawezekana una manzi yako pengine mmekua nae muda wote leo umeshika 2M unamuona kenge tu unatafuta uchi mpya...
Old school is underratedUTAPELI WA KIZAMANI. HIZI MBINU SISI TULITUMIA MIAKA YA 1990s huko wewe unatumia leo
Vile ni vitoto vya AI/IMAGE GENERATED BY AI hata mim sikuaminiKuna ka Application kamoja kanaitwa "sweetmeet" huko ndo kumejaa vienyeji.
Mpe mama zawadi achana na mambo mengine mzee.Mama sawa, manzi sina
Sawa umesikika mkuuuMpe mama zawadi achana na mambo mengine mzee.