Natafuta muuzaji wa mwani Arusha

Natafuta muuzaji wa mwani Arusha

Mwani ndio kitu gani

19598a5c-876d-40cf-8fd2-2ae769c80465.jpg

Huu hapa.
 
Mkuu kuna jamaa wanalima Pemba. Labda nikuulizie bei. Changamoto nayoiona ni kuitoa Pemba mpaka Arusha.
 
Maji ya bahari yanaotesha mimea tofauti tofauti mfano huo mwani mikoko hata minazi unaweza kuikuta imemea baharini
 
Back
Top Bottom