Natafuta Mwanamama ili awe rafiki yangu 'mzurimzuri'

Hahaha yaani mimi nacheka humo kwenye funga na fungua semi


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waafrika tuna matatizo sana kwenye Imani.

Ila kwasababu anajua sana wala sitabishana nae maana hawa ndio akihifadhi Juzuu Amma Tu anaona wenzake wote hawaendi Peponi isipokuwa wao.
Mimi nawashangaa Hawa wanaojifanya wanaijua.dini.but in reality hawajui..kitu...

Mkuu wewe fanya yako...
 
Wasubiri
 
Naona umri unaenda, usichague, mwanamke yoyote ili mradi anapumua na hayupo kwenye ndoa

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Maisha yangu,uchaguzi wangu.
Mungu ndie fundi na ajuae yote.
Ahsante kwa kuja.
Jimama hahahahahaha hawaji sikuizi wanataka vidogoli vina power wewe na 4040 yako umeshazeeka mbn usitafute kibint cha miaka 25 ndo vizuri au vp mkuu
Ungejifunza kuandika sawasawa kwanza ingependeza.
Lakini ahsante kwa kuja pia.
 
Naomba temporary job ya u HR manake watakuja wengi ili niwafanyie interview/ mchujo......
 
Kama upo tayari kuolewa mke wa pili njo inbox
 
Masharti kibao kama unaomba mkopo benki ya Dunia
Mbona machache hayo ya hadharani?
Mchujo sio wa kitoto huko chemba au hukukumbuki yakiyosemwa, kosea yote ila sio........?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…