Natafuta Mwanamama ili awe rafiki yangu 'mzurimzuri'

Natafuta Mwanamama ili awe rafiki yangu 'mzurimzuri'

UMESHALIPATA JIMAMA KAKA....???
Marekebisho;
Mimi natafuta Mwanamama sio 'jimama'.

Kujibu swali lako;
Bado sijafanikiwa. Wanaokuja hawana Nia ya dhati.
Nahitaji mtu mwenye vigezo nilivyoainisha na ambae nae anao uhitaji kama mimi kwa Nia ya dhati.
 
Ni kwamba vigezo ni vigumu au wanamama mnadhani natania?
 
Back
Top Bottom