Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili

Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili

Unauhakika?
Tamani yangu na uzazi wanhu kubwa kuliko pesa.anyway kila mtu ana akili yake kwa kweli as for me, bado sijashawishika to be honest, yaani nikuzalie unilipe???? Why? Kwa nini nisitafute mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia na wote tukakabiliana na majukumu ya kujenga familia yetu, hata kama ningekua sijaolewa bado pia singeshawishika
 
Sawa ni mtazamo wako
 
Hiyo hela imenitoa roho jamani, sasa kiingereza tu sijui ndio hicho kifaransa!!!!!! Mkuu hautaki hata yaya jamani.
Ha haaa mwanamke wewe ukisikia hela unavibrite kabisa looh
 
Najaribu kufikiria tu uwezo wamungu ndani ya mkataba wenu wakati hujui hata kuumba kidole.mungu anawajali mtoto wakwanza.mimba inayofata mara katotoa wawili.tayari wanakua watatu.mkataba umevunjika.ile milion kadha anaikosa na watoto kadhiriwa
Habarin dada zangu wa mkoani na dsm natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili tuu kwa malipo ya tsh 10 M matunzo na huduma nyingine nitatoa mimi mwenyewe wakati wote..Awe na sifa zifuatazo

1)Mweupe na mwembamba kiasi

2)Mrefu

3)Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.

4)Awe na elimu ya kuanzia shahada na kuendelea awe anajua kuongea kwa usahihi lugha ya kingereza na kifaransa

Kama kuna aliyeko tayari aje inbox

KINACHOJIRI SASA

Wakuu natumaini maendeleo yenu kiafya ni mazuri sana.Kwa kipindi kifupi cha wakati hatimaye nimempata mwanamke mwenye sifa nilizoorodhesha Hata hivyo ametaka dau lipande na kufikia 18M. Leo atafanyiwa usaili wa mambo mengine pamoja na usaili wa vipimo vya Afya ili kujiridhisha kuwa hana tatizo lolote.....Natumaini baada ya hapo kama akifaulu kwa kiwango ninachotaka tutaweza kuendelea na hatua inayofuatia.
 
Back
Top Bottom