Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili

Habari za masiku mkuu, nilikumiss sana jukwaa hili kwani watu wa uhalisia walipungu. Umenena kweli hata wengine tuliambiwa kuwa wao wanatafuta watoto, mtoto alipopatikana anataka kupindua big house!
Namshukuru M/Mungu mimi na familia yangu sote hatujambo,ni changamoto tu za maisha ndio zinatufanya tunapotea kiasi ndugu yangu
 
Bola maamuzi haya kuliko kuwowa kizazi hiki mume akitoka mlango wa mbele yeye anatokea wanyuma
 
Huwajui wanawake wa bongo wewe , Mil. 10 zako atapokea watoto atakuzalia na baada ya hapo atakung'ang'ania kama ngozi katika mwili
Akishindwa kwa Sangoma basi hata ikulu atakwenda peku ili aonekane ameonewa,kachanganyikiwa au kachizika,na bunge Zima + nchi italipuka kumtetea Muulize Sugu atakwambia
😂😂😂😂ila kweli mkuu!

Kale kademu kanampenda sana sugu ila kanijifanya kumtolea matusi
 
Habarin dada zangu wa mkoani na dsm natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili tuu kwa malipo ya tsh 10 M matunzo na huduma nyingine nitatoa mimi mwenyewe wakati wote..Awe na sifa zifuatazo

1)Mweupe na mwembamba kiasi

2)Mrefu

3)Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.

4)Awe na elimu ya kuanzia shahada na kuendelea awe anajua kuongea kwa usahihi lugha ya kingereza na kifaransa

Kama kuna aliyeko tayari aje inbox

KINACHOJIRI SASA

Wakuu natumaini maendeleo yenu kiafya ni mazuri sana.Kwa kipindi kifupi cha wakati hatimaye nimempata mwanamke mwenye sifa nilizoorodhesha Hata hivyo ametaka dau lipande na kufikia 18M. Leo atafanyiwa usaili wa mambo mengine pamoja na usaili wa vipimo vya Afya ili kujiridhisha kuwa hana tatizo lolote.....Natumaini baada ya hapo kama akifaulu kwa kiwango ninachotaka tutaweza kuendelea na hatua inayofuatia.
We jamaa noma, huko mtaani hujawaona wapo wengi tu, hata bure anakuzalia.
Hili tangazo naona ni chambo kwa watakaotaka ila wasichana nendeni na mawakili wenu mkafunge mkataba akijifanya hatoi mpunga mzamisheni kwa pilato
 
Sinaga miyeyusho brother
 
Huwajui wanawake wa bongo wewe , Mil. 10 zako atapokea watoto atakuzalia na baada ya hapo atakung'ang'ania kama ngozi katika mwili
Akishindwa kwa Sangoma basi hata ikulu atakwenda peku ili aonekane ameonewa,kachanganyikiwa au kachizika,na bunge Zima + nchi italipuka kumtetea Muulize Sugu atakwambia

Hahhaahaaa mtagawana mpaka watoto
 
Asa sijaju utafanya kama mkulima kwamba kila ikifika wakat wa kulima unaenda unarudi wakat wa kuvuna au vp maana sie waafrik ukikaa na mwanamke kidogo tu hisia zinaanza kujijenga mpaka unataja jizo sifa ina mana unapenda mwanamke wa hivyo
KUMBUKA K SIO PHOTOCOPY MASHINE kusema unataka akuzalie watot wenye hizo sifa
 
Habarin dada zangu wa mkoani na dsm natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili tuu kwa malipo ya tsh 10 M matunzo na huduma nyingine nitatoa mimi mwenyewe wakati wote..Awe na sifa zifuatazo

1)Mweupe na mwembamba kiasi

2)Mrefu

3)Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.

4)Awe na elimu ya kuanzia shahada na kuendelea awe anajua kuongea kwa usahihi lugha ya kingereza na kifaransa

Kama kuna aliyeko tayari aje inbox

KINACHOJIRI SASA

Wakuu natumaini maendeleo yenu kiafya ni mazuri sana.Kwa kipindi kifupi cha wakati hatimaye nimempata mwanamke mwenye sifa nilizoorodhesha Hata hivyo ametaka dau lipande na kufikia 18M. Leo atafanyiwa usaili wa mambo mengine pamoja na usaili wa vipimo vya Afya ili kujiridhisha kuwa hana tatizo lolote.....Natumaini baada ya hapo kama akifaulu kwa kiwango ninachotaka tutaweza kuendelea na hatua inayofuatia.

Kwani wewe ni Michael Jackson?
 
Baada ya hapo watoto wanaenda wapi, asee mi hata kwa bilion moja siingii mkataba kama huo,
 
Back
Top Bottom