Dunia imejaaa maajabu, huyu MTU atakuwa agent wa MTU fulani tena.mzungu kama sikosei. Imagine MTU anapenda kitu kimoja kwako? Akupe mimba tuu?
Uzi huu umenikumbusha tukio Fulani ndipo nilipogungua akili za wanaume wotee ni sawa.
Iko hivi kuna Shoga yangu yeye anapenda sana kuolewa na wazungu, ktk zunguka akampaka mzungu yupo tiyari kwa ndoa, dah ila akashindwa kitu kimoja.
Huyo mzungu alimwambia anapenda wanawake wa kiafrika lakini kwenye kitu Fulani bila hicho no ndoa. kizuri cha wazungu wako open. Sasa Shoga yangu hicho kitu hana, na tumeshibana, so tunasimuliana na anajua hicho kitu ninacho mm, samahani siwezi kamwe kusema hapa.
Basi Shoga kaja kwangu kanambia kama Niko tiyari basi ampe mawasiliano yangu. Sikuwa na time na mahusiano so nilimwambia siko tiyari.
Baada ya hill tukio niliwaza nini maana ya love?? Yaan MTU apende kitu kimoja kutoka kwako na sio vingine kweli hapo kuna upendo? Maana bila hicho hakuna upendo? Hii dunia haiko fair.
Nikawaza Huyu mwanaume hicho kitu atakipata kivip? Mbona sio common kivile? Hapo ndipo nilisema shikamoo nguvu ya pesa. Ana kiburi cha pesa kutamka eti yeye anataka kitu Fulani kisa pesa bila upendo kama mleta mada.
Coz nijuavyo MTU apende vyote ulivyonavyo, akiona kucha, mikono miguu, kichwa chako macho, ongea yako vyote avipende sio kupenda kupenda kiungo cha mwili and that's all. Dah ee Mungu.