Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili

Ha ha ha ha Kama utampata basi ujue huyo hana sifa moja katika sifa unazohitaji.
Awe na kuanzia Shahada anajua kifaransa na kiingereza kwa usahihi huyo mtu akikukubali wewe
kumzalia kwa 10 milion atakosa sifa hii
Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.
ww umenena
 
GREAT THINKER
 
Dunia imejaaa maajabu, huyu MTU atakuwa agent wa MTU fulani tena.mzungu kama sikosei. Imagine MTU anapenda kitu kimoja kwako? Akupe mimba tuu?

Uzi huu umenikumbusha tukio Fulani ndipo nilipogungua akili za wanaume wotee ni sawa.

Iko hivi kuna Shoga yangu yeye anapenda sana kuolewa na wazungu, ktk zunguka akampaka mzungu yupo tiyari kwa ndoa, dah ila akashindwa kitu kimoja.

Huyo mzungu alimwambia anapenda wanawake wa kiafrika lakini kwenye kitu Fulani bila hicho no ndoa. kizuri cha wazungu wako open. Sasa Shoga yangu hicho kitu hana, na tumeshibana, so tunasimuliana na anajua hicho kitu ninacho mm, samahani siwezi kamwe kusema hapa.

Basi Shoga kaja kwangu kanambia kama Niko tiyari basi ampe mawasiliano yangu. Sikuwa na time na mahusiano so nilimwambia siko tiyari.

Baada ya hill tukio niliwaza nini maana ya love?? Yaan MTU apende kitu kimoja kutoka kwako na sio vingine kweli hapo kuna upendo? Maana bila hicho hakuna upendo? Hii dunia haiko fair.
Nikawaza Huyu mwanaume hicho kitu atakipata kivip? Mbona sio common kivile? Hapo ndipo nilisema shikamoo nguvu ya pesa. Ana kiburi cha pesa kutamka eti yeye anataka kitu Fulani kisa pesa bila upendo kama mleta mada.

Coz nijuavyo MTU apende vyote ulivyonavyo, akiona kucha, mikono miguu, kichwa chako macho, ongea yako vyote avipende sio kupenda kupenda kiungo cha mwili and that's all. Dah ee Mungu.
 
Mama kwa huyu mtoa mada hataki mapenzi yeye ni biashara ya mtoto halafu kila MTU na njia zake. Ingekua mapenzi asingeweka masharti yote hayo
 
Ha ha ha ha Kama utampata basi ujue huyo hana sifa moja katika sifa unazohitaji.
Awe na kuanzia Shahada anajua kifaransa na kiingereza kwa usahihi huyo mtu akikukubali wewe
kumzalia kwa 10 milion atakosa sifa hii
Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.
you nailed it hahaha
 
Matumizi mazuri ya akili ni muhimu
 
Yeah hakika ni mpango wangu kwani chini ya jua mambo yote yanawezekana natumaini utakuwa hujalielewa tangazo vizuri

Nimeelewa unatafuta surrogate. Sijawahi sikia hizo hadithi Tz, tena mwenye elimu na mwenye kujiweza kama unavyotaka mmmh. Mambo mengine yabakigi tu kwa akina kim kardashian.
Kila ka heri lakini. Ila mfn mie nizae twice halafu niachie tu watoto wangu kwa Mil 10 aka $5000? aisee ngumuu balaa. Oa tu
 
Mkuu , hizo 10m hemu niletee mm nitakua dalali wako

Nitakutaftia hata mtoto wa kiarabu ufyatue najua ni genye tu hizo zinakusumbua
Huna cha kutaka mtoto wala nini
 
Kuna dada hapa ana vigezo, ila anasema ongeza 10 nyingine
 
Back
Top Bottom