Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mi najua salamu, ngoja niwahi.Mkuu sijui kifaransa na sio mnene sana. Naweza kuja kwenye usaili?
Phenomenal woman kuna deal hapa. Sema kifaransa issue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi najua salamu, ngoja niwahi.Mkuu sijui kifaransa na sio mnene sana. Naweza kuja kwenye usaili?
Phenomenal woman kuna deal hapa. Sema kifaransa issue
ww umenenaHa ha ha ha Kama utampata basi ujue huyo hana sifa moja katika sifa unazohitaji.
Awe na kuanzia Shahada anajua kifaransa na kiingereza kwa usahihi huyo mtu akikukubali wewe
kumzalia kwa 10 milion atakosa sifa hii
Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.
GREAT THINKERHa ha ha ha Kama utampata basi ujue huyo hana sifa moja katika sifa unazohitaji.
Awe na kuanzia Shahada anajua kifaransa na kiingereza kwa usahihi huyo mtu akikukubali wewe
kumzalia kwa 10 milion atakosa sifa hii
Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.
Ngoja Mimi na Evelyn Salt tukishajifungua tutakuajiri uwe yayaHiyo hela imenitoa roho jamani, sasa kiingereza tu sijui ndio hicho kifaransa!!!!!! Mkuu hautaki hata yaya jamani.
Ngoja Mimi na Evelyn Salt tukishajifungua tutakuajiri uwe yaya
Mama kwa huyu mtoa mada hataki mapenzi yeye ni biashara ya mtoto halafu kila MTU na njia zake. Ingekua mapenzi asingeweka masharti yote hayoDunia imejaaa maajabu, huyu MTU atakuwa agent wa MTU fulani tena.mzungu kama sikosei. Imagine MTU anapenda kitu kimoja kwako? Akupe mimba tuu?
Uzi huu umenikumbusha tukio Fulani ndipo nilipogungua akili za wanaume wotee ni sawa.
Iko hivi kuna Shoga yangu yeye anapenda sana kuolewa na wazungu, ktk zunguka akampaka mzungu yupo tiyari kwa ndoa, dah ila akashindwa kitu kimoja.
Huyo mzungu alimwambia anapenda wanawake wa kiafrika lakini kwenye kitu Fulani bila hicho no ndoa. kizuri cha wazungu wako open. Sasa Shoga yangu hicho kitu hana, na tumeshibana, so tunasimuliana na anajua hicho kitu ninacho mm, samahani siwezi kamwe kusema hapa.
Basi Shoga kaja kwangu kanambia kama Niko tiyari basi ampe mawasiliano yangu. Sikuwa na time na mahusiano so nilimwambia siko tiyari.
Baada ya hill tukio niliwaza nini maana ya love?? Yaan MTU apende kitu kimoja kutoka kwako na sio vingine kweli hapo kuna upendo? Maana bila hicho hakuna upendo? Hii dunia haiko fair.
Nikawaza Huyu mwanaume hicho kitu atakipata kivip? Mbona sio common kivile? Hapo ndipo nilisema shikamoo nguvu ya pesa. Ana kiburi cha pesa kutamka eti yeye anataka kitu Fulani kisa pesa bila upendo kama mleta mada.
Coz nijuavyo MTU apende vyote ulivyonavyo, akiona kucha, mikono miguu, kichwa chako macho, ongea yako vyote avipende sio kupenda kupenda kiungo cha mwili and that's all. Dah ee Mungu.
you nailed it hahahaHa ha ha ha Kama utampata basi ujue huyo hana sifa moja katika sifa unazohitaji.
Awe na kuanzia Shahada anajua kifaransa na kiingereza kwa usahihi huyo mtu akikukubali wewe
kumzalia kwa 10 milion atakosa sifa hii
Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.
Naona umekuwa mtetezi waoKama shida yako ni watoto, peleka mbegu zako kwa wataalamu wanaziweka kwenye chupa baada ya muda unapata watoto wako, ifike wakati hawa akina dada wasitumike vibaya
Matumizi mazuri ya akili ni muhimuHa ha ha ha Kama utampata basi ujue huyo hana sifa moja katika sifa unazohitaji.
Awe na kuanzia Shahada anajua kifaransa na kiingereza kwa usahihi huyo mtu akikukubali wewe
kumzalia kwa 10 milion atakosa sifa hii
Mwenye nidham na awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kutumia akili kwa usahihi.
Ni vizuri piawewe utakuwa mshirikina au imani inayo fanana fanana na hiyo. Na amini kwa masharti yako utapata mshirikina mwenzako
Yeah hakika ni mpango wangu kwani chini ya jua mambo yote yanawezekana natumaini utakuwa hujalielewa tangazo vizuri
Baba watoto weka basi na fungu la French and English courses
Kama unasifa tajwa hapo juu njoo inboxKha eti ajue kifaransa tena
Bora kukodi au kujazwa na usilipwe na hata matunzo ya mtoto usipewe??Kazi tunayo,yaan unakodi tumbo la MTU.??