Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili

Unauhakika?
Tamani yangu na uzazi wanhu kubwa kuliko pesa.anyway kila mtu ana akili yake kwa kweli as for me, bado sijashawishika to be honest, yaani nikuzalie unilipe???? Why? Kwa nini nisitafute mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia na wote tukakabiliana na majukumu ya kujenga familia yetu, hata kama ningekua sijaolewa bado pia singeshawishika
 
Sawa ni mtazamo wako
 
Hiyo hela imenitoa roho jamani, sasa kiingereza tu sijui ndio hicho kifaransa!!!!!! Mkuu hautaki hata yaya jamani.
Ha haaa mwanamke wewe ukisikia hela unavibrite kabisa looh
 
Najaribu kufikiria tu uwezo wamungu ndani ya mkataba wenu wakati hujui hata kuumba kidole.mungu anawajali mtoto wakwanza.mimba inayofata mara katotoa wawili.tayari wanakua watatu.mkataba umevunjika.ile milion kadha anaikosa na watoto kadhiriwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…