Natafuta mwanamke aliyetulia na mwenye maisha

Hahaa namba 4 bana sauti kama nn hahaha
 
Jamani Dodoma... Dodoma makao makuu... Mtoa mada unaishi Dodoma sehemu gani isije ikawa nakufahamu
 
Mimi ninavyojua mtu mwenye maisha ni yule anaeishi au sio, hao wanaoishi wapo wengi sana.
Afu unasema haujapata bahati ya kukutana nao huko mtaani sio. Kwa hiyo umejiongeza na umeona humu utapata ambao hawapendi kuhongwa?
Basi nikutakie kila la heri.
 
Karibu
 
gud
 
Mi pia nipo dodoma kisasa wewe upo wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…