Natafuta mwanamke aliyetulia na mwenye maisha

Natafuta mwanamke aliyetulia na mwenye maisha

We mwenyew hujielewi ata unamtaka mwanamke wa dizain gani mara sponsor aliye na kazi mara wa miaka 40 utaacha kupata hayo mabomu ya nyuklia kweli???? Jifanyie evaluation kwanza ujue unataka nn, kwa huo umri sio wa kupoteza mda tena
 
si lazima uchangie, shida watz kila kitu wanajifanya wajuaji. nenda kenya hapo tu karibu watu walivyo open minded, shida mijitu huku wanajifanya conservative alafu hamna cha maana kila mda michepuko au kutembea na vibinti vya sekondari, this is what i feel, wewe kama unaona sijielewi chukua time zako.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Ni mda sasa natamani kuwa na mtu ila sipati bahati kukutana na mwanamke ambaye ana vigezo nnavyovitaka.
maana kila nikikutana na demu ni vibomu tu kama vya nyuklia.
ninafanya kazi na nimepanga, natamani nipate mdada wa umri kuanzia 26 mpaka hata 40. awe na kazi na ametulia. nimechoka kuwa single.
Kwahiyo sisi under 26 hatutakiwi🙂🙂
 
Kwa hicho kigezo ulichoweka bro. watakutafutia kila sababu.....Hakuna atakaesogea. Mademu Bila mizinga Hawawezi kabisa hilo lipo kwenye damu yao.
 
Back
Top Bottom