Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

Unamaneno matamu bt vigezo na mashart kuzingatiwa
 
Staki kuamini Kama jf hakuna wasomi wakike,!!! Au wanahisi mwanaume anayetafuta mwanamke mtandaoni atakuwa mbaya??
 
Mangi unatuaibisha wachagga wenzio meku.

Watoto wazuri wamejaa mitaani unakuja kutafuta majini huku mtandaoni meku?

Leka naiyo! Chaa
Tatizo sifa meku, I have a lot to do siwez pita mtaani kutafuta mwanamke mwenye sifa nilizo zitaja hapo wakt hata jf naweza kupata.. alafu umewakosea wanawake was jf kwa kuwaita majini..
 
Mwenye ivyo vigezo sidhani Kama atakuwa shankupe.. usihisi nimekurupuka kuandika hi thread kaka.. Kama ningehitaj yyte ningepata uyo shankupe lakn kwa sifa izo hakuna shankupe hapo trust me
 
Mtaani kwenu na kazini kwenu kote hakuna wanawake wenye sifa?? Au kutongoza ndo tatizo?
 
jamani hivyo vigezo vya elimu mnavyoweka kwenye kutafuta wapenzi havina mahusiano na ndoa af itapelekea wengi kutoolewa na kingine wadada zetu hawa watakuwa wanakwenda chuo c kwa ajili ya kupata ajira bali ni ndoa...! wewe msomi bhana fanya mambo kwa kufikiri sana au unataka uwe na mishahara miwili wako na wa mkeo..! kila la kheri ufanikishe ila mambo mengine kujidelayisha tu
 
Nataka tufungue nae campan kaka, education is matter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…