Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

Kwa majiana naitwa Elnest tesha, namiaka 33 natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayar kufunga ndoa na Mimi .. sifa, awe mcha mungu, dini yoyote, awe na bachelor degree, masters, au PhD ikiwa computer science, information technology itakuwa vizur zaidi.. Binafsi nina bachelor degree ya computer engineering, nafanya kazi serikalini, kiuchumi najiweza.. Kama una vigezo ivyo welcome pm
subiri upate matapeli au makahaba! naona ndicho mnacho kitafuta!
 
Kwa majiana naitwa Elnest tesha, namiaka 33 natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayar kufunga ndoa na Mimi .. sifa, awe mcha mungu, dini yoyote, awe na bachelor degree, masters, au PhD ikiwa computer science, information technology itakuwa vizur zaidi.. Binafsi nina bachelor degree ya computer engineering, nafanya kazi serikalini, kiuchumi najiweza.. Kama una vigezo ivyo welcome pm

wanye degree zingine hawana nafasi?
 
namiaka ndio unamaanisha nina miaka au? kajifunze kuandika vizuri kwanza
 
Hahahahahahahah humu naona unatafuta mwanamke wa kukutongoza wewe uwezi umri huo unatafuta mitandao endelea kusubiri jipige scrub avatar andika Bae watakuja
 
Hahah alafu guys, mnahisi am jocking, it serious guys and once again, sijakurupuka kuandika uzi huu, nifikilia sana, and for my side nahisihi social network is the best way for this time.
 
Back
Top Bottom