mwakyambikig
Member
- Mar 21, 2011
- 89
- 34
subiri upate matapeli au makahaba! naona ndicho mnacho kitafuta!Kwa majiana naitwa Elnest tesha, namiaka 33 natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayar kufunga ndoa na Mimi .. sifa, awe mcha mungu, dini yoyote, awe na bachelor degree, masters, au PhD ikiwa computer science, information technology itakuwa vizur zaidi.. Binafsi nina bachelor degree ya computer engineering, nafanya kazi serikalini, kiuchumi najiweza.. Kama una vigezo ivyo welcome pm