Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

Mimi nakila kitu
Mimi nikatoto kazuri na nina bachelor in love na sasa nasomea masters in love je nitapata nafasi najua kupenda kukulove kukuosha nguo nakupasi ukirudi kutoka kazini nakuosha miguu halafu massage ya mwili utapata naheshima mimi ni mpole na pia napenda kuwa mwaminifu je na chance??[emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]
Unamaneno matamu bt vigezo na mashart kuzingatiwa
 
Staki kuamini Kama jf hakuna wasomi wakike,!!! Au wanahisi mwanaume anayetafuta mwanamke mtandaoni atakuwa mbaya??
 
Mangi unatuaibisha wachagga wenzio meku.

Watoto wazuri wamejaa mitaani unakuja kutafuta majini huku mtandaoni meku?

Leka naiyo! Chaa
Tatizo sifa meku, I have a lot to do siwez pita mtaani kutafuta mwanamke mwenye sifa nilizo zitaja hapo wakt hata jf naweza kupata.. alafu umewakosea wanawake was jf kwa kuwaita majini..
 
Mwenye ivyo vigezo sidhani Kama atakuwa shankupe.. usihisi nimekurupuka kuandika hi thread kaka.. Kama ningehitaj yyte ningepata uyo shankupe lakn kwa sifa izo hakuna shankupe hapo trust me
 
Kwa majiana naitwa Elnest tesha, namiaka 33 natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayar kufunga ndoa na Mimi .. sifa, awe mcha mungu, dini yoyote, awe na bachelor degree, masters, au PhD ikiwa computer science, information technology itakuwa vizur zaidi.. Binafsi nina bachelor degree ya computer engineering, nafanya kazi serikalini, kiuchumi najiweza.. Kama una vigezo ivyo welcome pm
Mtaani kwenu na kazini kwenu kote hakuna wanawake wenye sifa?? Au kutongoza ndo tatizo?
 
jamani hivyo vigezo vya elimu mnavyoweka kwenye kutafuta wapenzi havina mahusiano na ndoa af itapelekea wengi kutoolewa na kingine wadada zetu hawa watakuwa wanakwenda chuo c kwa ajili ya kupata ajira bali ni ndoa...! wewe msomi bhana fanya mambo kwa kufikiri sana au unataka uwe na mishahara miwili wako na wa mkeo..! kila la kheri ufanikishe ila mambo mengine kujidelayisha tu
 
Back
Top Bottom