Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

Kwangu ina uhusiano mkubwa sana
Unajidanganya sana tena, academic status has nothing to do kwenye ndoa, isitoshe wanawake ambao hawana elimu ya juu ndio hasa wake wema na siyo pasua kichwa kila kitu mpaka mdebate.

Kama unadhani degree ya mwanamke ni security kwa familia yenu unajidanganya ndoto za mchana pesa ya mwanamke ni yake na yako ni yenu wote.
 
Ivi ni kweli unakopita kote hujampata yule wa kufanana na wewe?. Au ndo kazi 24/7?. Haya kila la kheri katika hitaji lako.
 
Mkuu mbona una bananisha maneno kama sio msomi alafu kwa vigezo ulivyo viweka hapo ni vya kazi au vya mke unaye mtaka?
 
Vigezo vigumu Nini, au hakuna wanawake humu? Maana mpaka Sasa hata mmoja wakujipendekeza sijamuona
Hapa ndyo unaanza kuharibu sasa ,tukikufata pm utasema tumejipendekeza eeh, tumia maneno mazuri ,afu hivo vigezo kuna mshahara kila mwisho Wa mwezi nn, maana degree,PHD[emoji16] [emoji16]
 
Wewe ukipata mme wa mtu utatoka naye.Huna hofu ya Mungu.
 
Nataka tufungue nae campan kaka, education is matter
Jaribu kutumia kiswahili itakusaidia.

Ukiendelea kuchanganya lugha unajipunguzia sifa na pengine kutia mashaka kama ni msomi wa chuo kikuu au mfanyakazi wa serikali.
 
Wewe ukipata mme wa mtu utatoka naye.Huna hofu ya Mungu.
Huyu ni mume wa mtu mbona kaja na gia ya single na kwanini umuingize Mungu kwenye kuzini kama umejichokea unatafuta mtu wakwenda naye kuzimu nenda kuzimu mwenyewe shetanii mkubwa hasira zako mpelekee huyo punguani wako mlioshindwana kuoana muoane nyie kushindwana mtulete sisi hasira zenu.
Hebu toka zako wewe chizii hii ni gia ingine nitakuchamba mpaka ukijiangalia ujione hakuna mtu mwenye sura mbaya kama wewe.
UACHE WATU WAKILA MAMILIONI HUKO DAR NA NYUMBA Za KIFAHARI ZAWANAUME ZA WATU UJE UKANILETEE MIMI SHIDA KATOTO KAWATU KANAKOANZA KUOTA MABAWA SHINDWA SHETANI MWENYE MAPEMBE MPAKA KWENYE TIGO.
 
@katoto kazuri nilisema vile kwa kukutania na comment yangu ilibase kwenye matakwa ya mleta uzi na post ambayo uliwahi kupost kwenye uzi wa wanaotoka na waume/wake za watu.Sikutarajia kama ungeichukulia serious hivyo nnakiomba unisamehe dada yangu.
 
Haujakidhi vigezo vya mtoa mada.

Kuna vitu vya kuangalia kwa wife material kama tabia, kama una tabia nzuri na chura watakuja tu wenyewe.

Mwanamke mzuri jua kusoma, kuandika na kuhesabu pesa basi hayo mengine ni mbwembwe tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nshamkosa mtu na kazi take. Chura ninae mkubwa tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…