Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli umeongea hapo ni pointElimu ya mwanamke na ndoa vina uhusiano gani?
Unajidanganya sana tena, academic status has nothing to do kwenye ndoa, isitoshe wanawake ambao hawana elimu ya juu ndio hasa wake wema na siyo pasua kichwa kila kitu mpaka mdebate.Kwangu ina uhusiano mkubwa sana
Huyo mshamba hajakutana na malaya first class with masters degree.Kweli umeongea hapo ni point
Ni kweli mpendwaHuyo mshamba hajakutana na malaya first class with masters degree.
Hapa ndyo unaanza kuharibu sasa ,tukikufata pm utasema tumejipendekeza eeh, tumia maneno mazuri ,afu hivo vigezo kuna mshahara kila mwisho Wa mwezi nn, maana degree,PHD[emoji16] [emoji16]Vigezo vigumu Nini, au hakuna wanawake humu? Maana mpaka Sasa hata mmoja wakujipendekeza sijamuona
Wewe ukipata mme wa mtu utatoka naye.Huna hofu ya Mungu.Mimi nakila kitu
Mimi nikatoto kazuri na nina bachelor in love na sasa nasomea masters in love je nitapata nafasi najua kupenda kukulove kukuosha nguo nakupasi ukirudi kutoka kazini nakuosha miguu halafu massage ya mwili utapata naheshima mimi ni mpole na pia napenda kuwa mwaminifu je na chance??[emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]
Jaribu kutumia kiswahili itakusaidia.Nataka tufungue nae campan kaka, education is matter
Huyu ni mume wa mtu mbona kaja na gia ya single na kwanini umuingize Mungu kwenye kuzini kama umejichokea unatafuta mtu wakwenda naye kuzimu nenda kuzimu mwenyewe shetanii mkubwa hasira zako mpelekee huyo punguani wako mlioshindwana kuoana muoane nyie kushindwana mtulete sisi hasira zenu.Wewe ukipata mme wa mtu utatoka naye.Huna hofu ya Mungu.
@katoto kazuri nilisema vile kwa kukutania na comment yangu ilibase kwenye matakwa ya mleta uzi na post ambayo uliwahi kupost kwenye uzi wa wanaotoka na waume/wake za watu.Sikutarajia kama ungeichukulia serious hivyo nnakiomba unisamehe dada yangu.Huyu ni mume wa mtu mbona kaja na gia ya single na kwanini umuingize Mungu kwenye kuzini kama umejichokea unatafuta mtu wakwenda naye kuzimu nenda kuzimu mwenyewe shetanii mkubwa hasira zako mpelekee huyo punguani wako mlioshindwana kuoana muoane nyie kushindwana mtulete sisi hasira zenu.
Hebu toka zako wewe chizii hii ni gia ingine nitakuchamba mpaka ukijiangalia ujione hakuna mtu mwenye sura mbaya kama wewe.
UACHE WATU WAKILA MAMILIONI HUKO DAR NA NYUMBA Za KIFAHARI ZAWANAUME ZA WATU UJE UKANILETEE MIMI SHIDA KATOTO KAWATU KANAKOANZA KUOTA MABAWA SHINDWA SHETANI MWENYE MAPEMBE MPAKA KWENYE TIGO.
Haujakidhi vigezo vya mtoa mada.Mimi nahitaji mume lakini sina degree heheee [emoji23][emoji23]
😂😂😂 nshamkosa mtu na kazi take. Chura ninae mkubwa tu 😂😂Haujakidhi vigezo vya mtoa mada.
Kuna vitu vya kuangalia kwa wife material kama tabia, kama una tabia nzuri na chura watakuja tu wenyewe.
Mwanamke mzuri jua kusoma, kuandika na kuhesabu pesa basi hayo mengine ni mbwembwe tu.
Sasa yeye sijui ataka wa degree wa nini, kwanza wanawake wasomi ni vochomi ndni ya ndoa yaani ni wajuaji sana[emoji23][emoji23][emoji23] nshamkosa mtu na kazi take. Chura ninae mkubwa tu [emoji23][emoji23]