Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

@katoto kazuri nilisema vile kwa kukutania na comment yangu ilibase kwenye matakwa ya mleta uzi na post ambayo uliwahi kupost kwenye uzi wa wanaotoka na waume/wake za watu.Sikutarajia kama ungeichukulia serious hivyo nnakiomba unisamehe dada yangu.
Unajua ungekuwa unatania usingeweka hofu ya Munguu ndani yake.
Eti katoto kazuri unaweza kutembea na mume wa mtu huna hofu ya Mungu??
Mimi sinaproblem ila kweli humu ndani watu wanamengi nadanga na ringa na jiepusha na mambo mengi.
Kabisaa nanyamaza tu humu sasa nani anahela ya kunipa ninachotaka seriously??
Hakuna wote wamechoka sana tena humu .
Ukisikia wamechoka humu wanaongeza katika asilimia zao
Ndio maana wanahasira nakuniambia mimi nadanga.
 
Hahaha Mimi sihitaj chura super woman 2, chura wapelekee yanga
Kaka jaribu kuwasiliana na huyo dada mfahamiane huwezi jua labda ukakuta ana qualities unazozitaka.

Kuna wanawake hawakupata bahati ya kusoma kufika elimu ya juu kwa sababu mbali mbali kama ukosefu wa fedha.

Unaweza kuta ni mtu smart sana ukashangaa, akakupenda akakutunzia heshima yako, akapenda nduguzo na kujenga familia bora na wewe.
 
Sasa yeye sijui ataka wa degree wa nini, kwanza wanawake wasomi ni vochomi ndni ya ndoa yaani ni wajuaji sana
Hapana sio kwel, Mungu alitupa uwezo mkubwa sana wakuishi na mwanamke yeyote, wanaume tumeshindwa kutumia uwezo huo aliotupatia Mungu.. Inakuwaje mwanaume analalamika eti wanawake wenye elimu ni wasumbufu? Umekufa kifikra ndugu yangu, amkaa unawezo mkubwa Sana kaka, achana na maneno ya mitandaoni eti wanawake sikuizi ni wasumbufu, sio waaminifu, wanapenda pesa..!!! Hahaha ndugu yangu amkaa, jitambue tumia nguvu uliyo pewa na Mungu kumtawala mwanamke.
 
Mjaribu Super Woman 2, mbona ni mwanamke mzuri alafu smart.

Usiache huyo mtoto kaka apitw hivi hivi
 
Niliweka hofu ya Mungu kwasababu jamaa alisema anataka mcha Mungu..
Anyways, nimesamehewa?
 
Wakubwa education is matter kwa sababu zangu Binafsi,alafu mnaweza chukulia utani, but it very serious guys
 
Wakubwa education is matter kwa sababu zangu Binafsi,alafu mnaweza chukulia utani, but it very serious guys
Haya kila la kheri mkuu, Mungu akufanyie wepesi upate haja ya moyo wako.

Usiache kumtafuta Super Woman 2, mtoe out msikilize mwazo yake unaweza ukashangaa.

Kama ni Company, hiyo inahitaji usimamizi tu hivo ukipata mwanamke anyejielewa ataweza hiyo kazi vizuri huku unamsaidia mambo madogo madogo.

Never say never, kuwa flexible mkuu kuna watu wana elimu ila wana mambo ya hovyo sana hawafai hata kuwafanya mke wa pili.

Chukua chombo hicho mkuu, jipe mda msome tabia, fatilia background yake, ifahamu familia anakotokea na watu wake wa karibu basi.
 
Asante comred
 
Aisee,naona somo la uandishi limekuwa tatizo nowadays.

Una bachelor degree lakini unaandika kama wa darasa la pili?

Hata jina la baba yako unaanza kuandika kwa herufi ndogo??
unayako tuu! pengine unamuonea uwivu mwenzio si uende shule na wewe mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ