Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Labda anataka akafungue chuo nyumbaniSasa yeye sijui ataka wa degree wa nini, kwanza wanawake wasomi ni vochomi ndni ya ndoa yaani ni wajuaji sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda anataka akafungue chuo nyumbaniSasa yeye sijui ataka wa degree wa nini, kwanza wanawake wasomi ni vochomi ndni ya ndoa yaani ni wajuaji sana
Unajua ungekuwa unatania usingeweka hofu ya Munguu ndani yake.@katoto kazuri nilisema vile kwa kukutania na comment yangu ilibase kwenye matakwa ya mleta uzi na post ambayo uliwahi kupost kwenye uzi wa wanaotoka na waume/wake za watu.Sikutarajia kama ungeichukulia serious hivyo nnakiomba unisamehe dada yangu.
Kaka jaribu kuwasiliana na huyo dada mfahamiane huwezi jua labda ukakuta ana qualities unazozitaka.Hahaha Mimi sihitaj chura super woman 2, chura wapelekee yanga
😂😂😂😂😂😂😂 nshakosa mume mieHahaha Mimi sihitaj chura super woman 2, chura wapelekee yanga
Hapana sio kwel, Mungu alitupa uwezo mkubwa sana wakuishi na mwanamke yeyote, wanaume tumeshindwa kutumia uwezo huo aliotupatia Mungu.. Inakuwaje mwanaume analalamika eti wanawake wenye elimu ni wasumbufu? Umekufa kifikra ndugu yangu, amkaa unawezo mkubwa Sana kaka, achana na maneno ya mitandaoni eti wanawake sikuizi ni wasumbufu, sio waaminifu, wanapenda pesa..!!! Hahaha ndugu yangu amkaa, jitambue tumia nguvu uliyo pewa na Mungu kumtawala mwanamke.Sasa yeye sijui ataka wa degree wa nini, kwanza wanawake wasomi ni vochomi ndni ya ndoa yaani ni wajuaji sana
Usimtanie mme mtarajiwa hujui anaweza kubadili gia angani akakufata PM. Mi nishakupigia chepuoLabda anataka akafungue chuo nyumbani
Mjaribu Super Woman 2, mbona ni mwanamke mzuri alafu smart.Hapana sio kwel, Mungu alitupa uwezo mkubwa sana wakuishi na mwanamke yeyote, wanaume tumeshindwa kutumia uwezo huo aliotupatia Mungu.. Inakuwaje mwanaume analalamika eti wanawake wenye elimu ni wasumbufu? Umekufa kifikra ndugu yangu, amkaa unawezo mkubwa Sana kaka, achana na maneno ya mitandaoni eti wanawake sikuizi ni wasumbufu, sio waaminifu, wanapenda pesa..!!! Hahaha ndugu yangu amkaa, jitambue tumia nguvu uliyo pewa na Mungu kumtawala mwanamke.
Niliweka hofu ya Mungu kwasababu jamaa alisema anataka mcha Mungu..Unajua ungekuwa unatania usingeweka hofu ya Munguu ndani yake.
Eti katoto kazuri unaweza kutembea na mume wa mtu huna hofu ya Mungu??
Mimi sinaproblem ila kweli humu ndani watu wanamengi nadanga na ringa na jiepusha na mambo mengi.
Kabisaa nanyamaza tu humu sasa nani anahela ya kunipa ninachotaka seriously??
Hakuna wote wamechoka sana tena humu .
Ukisikia wamechoka humu wanaongeza katika asilimia zao
Ndio maana wanahasira nakuniambia mimi nadanga.
Pm yangu ina 🔐 . Na sina mpango wa kuifungua. Amesema hataki ChuraUsimtanie mme mtarajiwa hujui anaweza kubadili gia angani akakufata PM. Mi nishakupigia chepuo
Unaniangusha best, hebu jaribu bahati yako leo watu tule pilau.Pm yangu ina [emoji359] . Na sina mpango wa kuifungua. Amesema hataki Chura
😂😂😂😂NshakataliwaUnaniangusha best, hebu jaribu bahati yako leo watu tule pilau.
Basi best atakuja mwingine labda bahati siyo yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nshakataliwa
😂😂😂😂Basi best atakuja mwingine labda bahati siyo yako.
Mi nina mchumba tayari na tumetoka mbali sana, ningekuwa single ningekuchua wewe mtoto mzuri nikoe nikiweke ndani tujenge familia bora.
Niliweka hofu ya Mungu kwasababu jamaa alisema anataka mcha Mungu..
Anyways, nimesamehewa?
Ahsante sana.Uwe na siku njema.Sinaga kinyongo yes
Haya kila la kheri mkuu, Mungu akufanyie wepesi upate haja ya moyo wako.Wakubwa education is matter kwa sababu zangu Binafsi,alafu mnaweza chukulia utani, but it very serious guys
Asante comredHaya kila la kheri mkuu, Mungu akufanyie wepesi upate haja ya moyo wako.
Usiache kumtafuta Super Woman 2, mtoe out msikilize mwazo yake unaweza ukashangaa.
Kama ni Company, hiyo inahitaji usimamizi tu hivo ukipata mwanamke anyejielewa ataweza hiyo kazi vizuri huku unamsaidia mambo madogo madogo.
Never say never, kuwa flexible mkuu kuna watu wana elimu ila wana mambo ya hovyo sana hawafai hata kuwafanya mke wa pili.
Chukua chombo hicho mkuu, jipe mda msome tabia, fatilia background yake, ifahamu familia anakotokea na watu wake wa karibu basi.
unayako tuu! pengine unamuonea uwivu mwenzio si uende shule na wewe mkuu!Aisee,naona somo la uandishi limekuwa tatizo nowadays.
Una bachelor degree lakini unaandika kama wa darasa la pili?
Hata jina la baba yako unaanza kuandika kwa herufi ndogo??