mwakyambikig
Member
- Mar 21, 2011
- 89
- 34
subiri upate matapeli au makahaba! naona ndicho mnacho kitafuta!Kwa majiana naitwa Elnest tesha, namiaka 33 natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayar kufunga ndoa na Mimi .. sifa, awe mcha mungu, dini yoyote, awe na bachelor degree, masters, au PhD ikiwa computer science, information technology itakuwa vizur zaidi.. Binafsi nina bachelor degree ya computer engineering, nafanya kazi serikalini, kiuchumi najiweza.. Kama una vigezo ivyo welcome pm
Ma programmer mnaitwa huku
Kwa majiana naitwa Elnest tesha, namiaka 33 natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayar kufunga ndoa na Mimi .. sifa, awe mcha mungu, dini yoyote, awe na bachelor degree, masters, au PhD ikiwa computer science, information technology itakuwa vizur zaidi.. Binafsi nina bachelor degree ya computer engineering, nafanya kazi serikalini, kiuchumi najiweza.. Kama una vigezo ivyo welcome pm
namiaka ndio unamaanisha nina miaka au? kajifunze kuandika vizuri kwanzaKwa majiana naitwa Elnest tesha, namiaka 33 natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayar kufunga ndoa na Mimi .. sifa, awe mcha mungu, dini yoyote, awe na bachelor degree, masters, au PhD ikiwa computer science, information technology itakuwa vizur zaidi.. Binafsi nina bachelor degree ya computer engineering, nafanya kazi serikalini, kiuchumi najiweza.. Kama una vigezo ivyo welcome pm
[emoji122][emoji122][emoji122]Mangi unatuaibisha wachagga wenzio meku.
Watoto wazuri wamejaa mitaani unakuja kutafuta majini huku mtandaoni meku?
Leka naiyo! Chaa
Wife & Business Partner....Buy one get one freeNataka tufungue nae campan kaka, education is matter
Una degree ya Nini?
Hahah alafu guys, mnahisi am jocking, it serious guys and once again, sijakurupuka kuandika uzi huu, nifikilia sana, and for my side nahisihi social network is the best way for this time.Hahahahahahahah humu naona unatafuta mwanamke wa kukutongoza wewe uwezi umri huo unatafuta mitandao endelea kusubiri jipige scrub avatar andika Bae watakuja
hahahaa wewe Mwakyambiki una mambo kuna majini humu tenasubiri majini ya JF yakuvamie!
HaaaaaaaMmmh