Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

Nina wasiwasi na elimu yako.miaka 33 rudi shule kwanza chief
 
Fact.
 
Ila Sijui hii ielewekeje.Kwani humu hakuna watu mpaka mnampangia MTU sehemu kwa kumpata mpenzi.Au humu ni Maroboti???aiseeeeee.Ebu kama thread haikuhusu unapita kimyaaa.Watu wameongeaaaa but Naona vijana wa Facebook mnavamia Jf.Ndo.mana wakatenga Hii page ya Love connect.Cha ajabu anayeshangaa Na kuuliza Kuutwa yupo Love connect.Majukwaa mengine kama ya kusonga ugali hamjayaona.Leave this page alone.!!walioweka walitambua uhitaji wake.Kama wewe umempata mtaani just fine.Mwenzio anataka kujaribu hapa Na ni mahali sahihi.Yaani Sijui tuliwekeje hili swala.
Umeshaona wameweka Love Connect unafungua.Halafu unaanza kushambulia waliotafuta Insane!!!
Ivi ni kweli unakopita kote hujampata yule wa kufanana na wewe?. Au ndo kazi 24/7?. Haya kila la kheri katika hitaji lako.
 
Hivi watu kama nyie huwa mnafunguaga Love connect Ili Jf waifunge.kwamba haina mana au.
Kwani ukienda hata jukwaa la Kupikapika kuna ubaya.
Eeeh kama jukwaa hili hulipendi Si hufungui tu.
Elimu Elimu jamani
subiri upate matapeli au makahaba! naona ndicho mnacho kitafuta!
 
Stop Attacking.
Nothing wrong with this Thread please.
Hahahahahahahah humu naona unatafuta mwanamke wa kukutongoza wewe uwezi umri huo unatafuta mitandao endelea kusubiri jipige scrub avatar andika Bae watakuja
 
Mkuu mnataka kutengeneza operating system (OS) yenu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimependa sana comment yako, Mm bado nipo single ila naona ndoa nyingi sana wanaume wanasema mshahara wa wake zao hawajui unanunua nn, yaan namaanisha pesa ya mke sio ya kuweka kwy budget yako
 
Heri useme wewe mkuu. Vijana wako so disillusiooned. Lack of exposure and exprience locks young peoplea minds. Education ok maybe ...but a specific degree is just crazy. The world today haijalishi una bsc comp science , IT to achieve something. Youbcan have ur diploma is social science and a goal getter .

Huyu aliepost bado too much immaturity. Kwanza kuwaza tu yupo busy mtaani ; college na kazini hawaoni kisa ana mambo mengi is already a dangerous sign and I wouldnt advice hata the most desparate girl kushow up maama ataangukoa kwenye anotjer nightmare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…