NjooCarolite imeniponza jamani, kila rakheri kwenu wenye rangi asilia!
Wewe unajielewa kwa kiasi gani?Husika na heading, nahitaji mwanamke (fiance) anayejielewa vyema kuanzia umri wa miaka 22 , elimu sio kigezo sana, kuanzia form 4 akiwa anajua hesabu kiasi itakuwa vyema.
Usiwe mfupi, maana napenda mwanamke mwenye mwili ila sio obesity, chura kiasi, ukiwa brown skin Itakuwa poa Sana, ila sio ya carolite,
Uwe mrembo wa kuvutia
SIFA zangu, ni mrefu kiasi 190cm, rangi maji ya kunde,
Nafanya kazi private company.
Karibu inbox tuyajenge
Karibu inbox tuyajenge
Unatafuta waliojichubua mkuu?Njoo
Husika na heading, nahitaji mwanamke (fiance) anayejielewa vyema kuanzia umri wa miaka 22 , elimu sio kigezo sana, kuanzia form 4 akiwa anajua hesabu kiasi itakuwa vyema.
Usiwe mfupi, maana napenda mwanamke mwenye mwili ila sio obesity, chura kiasi, ukiwa brown skin Itakuwa poa Sana, ila sio ya carolite,
Uwe mrembo wa kuvutia
SIFA zangu, ni mrefu kiasi 190cm, rangi maji ya kunde,
Nafanya kazi private company.
Karibu inbox tuyajenge
Karibu inbox tuyajenge
Carolite imeniponza jamani, kila rakheri kwenu wenye rangi asilia!
Unione tuu, ama unitunuku ndoa kabisa?hivi una uso mpana kama nini? Vipi unalifikia counter book?[emoji3] [emoji3]Pita huku nikuone vzr