Masokwe
JF-Expert Member
- Mar 30, 2019
- 454
- 682
Husika na heading, nahitaji mwanamke (fiance) anayejielewa vyema kuanzia umri wa miaka 22 , elimu sio kigezo sana, kuanzia form 4 akiwa anajua hesabu kiasi itakuwa vyema.
Usiwe mfupi, maana napenda mwanamke mwenye mwili ila sio obesity, chura kiasi, ukiwa brown skin Itakuwa poa Sana, ila sio ya carolite,
Uwe mrembo wa kuvutia
SIFA zangu, ni mrefu kiasi 190cm, rangi maji ya kunde,
Nafanya kazi private company.
Karibu inbox tuyajenge